Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Nauza Samsung ledtv inch 55, series 5, j5100... Bei 1.5milion. Risiti ipo.
Niliinunua mwaka Jana mwezi 6 trh 24.
Bado mpya kabisa ipo kwenye box na kitabu chake kipo.
Nilihamishwa kikazi.
Naweka picha.
 
3c114959b78b4b8d0668e1573b5ba464.jpg
 
Nauza Asali mbichi kwa Jumla na Reja Reja Asali nzuri mm siongei maneno mengi Nipo Kimara Kwa mawasiliano 0654 735273
Sasa asali na TV wapi na wapi kiongoz si bora ukaanzisha uzi wako kuliko kuweka biashara juu ya biashara nyingine ni ushauri tu coz kutangaza huku ni bure kabisa
 
nauza star x led 32 inch bado mpya .. imetumika mwez mmoja tu.. kila kitu chake kipo hadi box..

bei 400,000

sababu ya kuuza naongeza nguvu kumalizia kibanda changu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom