Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Habari,nauza LED(Full HD) flat screen aina ya Hisense,Ina muda wa wiki 3 tu,Ina warranty ya mwaka pamoja na risiti,ipo na box lake,napatikana kinondoni studio... Price= 275,000/= Contact:0683352362View attachment 1580109View attachment 1580110View attachment 1580111View attachment 1580112
IMG_20200925_083019_980.jpg
 
nenda kariakoo pale karibu na wanaouza magazeti asubuhi kuna fundi mmoja ndio mambo yake hayo kubadilisha vioo vya tv
Kariakoo magazeti yanauzwa sehemu nyingi, unamaanisha wapi exactly?
 
Kariakoo magazeti yanauzwa sehemu nyingi, unamaanisha wapi exactly?
Kwenye round ya about ya zamani ambapo sasa wameweka mataa mkono wa kulia,kuna wapiga picha na wauza vifaa kama rimoti za tv,kuna fundi mmoja anaitwa Mudy,ukimuulizia utampata
 
Kwenye round ya about ya zamani ambapo sasa wameweka mataa mkono wa kulia,kuna wapiga picha na wauza vifaa kama rimoti za tv,kuna fundi mmoja anaitwa Mudy,ukimuulizia utampata
Ok, pale Kuna kona nne,
Nadhan unazungumzia kona ya kuelekea kamata na kuelekea mjini. Nitaenda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom