bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,371
- 3,946
wadau nahitaji display ya star x 43" na pia LED lights zake kama itawezekana.nicheki 0713064992 whatsapp.Niko Mwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
NAUZA NA KUFUNGA VIOO VYA TV AINA MBALI MBALI KUANZIA INCH 24 MPAKA 55
Location: Jengo la biashara machinga complex karume Jengo la upande wa Ilala
Time: Jumatatu-Jmosi kuanzia saa 3 asubhui mpka saa 2 usiku
Call: 0652608010 Michael
Wadau wa MIKOANI vioo atuvitumi ilete TV offsini ufungiwe
Bei....inch 24 display ni 200000/
Inch 32 display ni 300000/=
Inch 43 display ni 500000/=
Inch 49 display ni 700000/=
Inch 55 display ni 850000/=
Hizo bei ya display ni pamoja na ufundi..ukitaka nikuuzie kioo kama kioo ili ubebe ukafunge mwenyewe UNAUZIWA PIA..ILA KIOO kikitoka akirudi offisni Tena..bei ya kioo bila ufungaji Toa elfu 30 ktk kila bei za hapo juu....KARIBUNIView attachment 1361885View attachment 1361886View attachment 1361888View attachment 1361889View attachment 1361890
Sent using Jamii Forums mobile app
Ambae ana tv lg nch 32 na imeharibika kioo naweza muuzia yangu kioo kwa bei chee tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninazo mkuu 280000 TV mpya ktk box inch 32 na home free Delivery ila ukiivunja kioo nakuwekea kioo kwa laki 3..na ilo sio kosa langu mimi kwaio relax
Sent using Jamii Forums mobile app
Npo mbgal dar esa laam nahitaj Tv nch32Weka tangazo,mahali ulipo bei ya tv na aina yake pamoja na namba ya simu
karibuni
Nmb za cm naombaNina TV yangu Philips nahitaji laki 350000 tu nipo Dar es salaam kama una mtu Dar mwambie aje aione ajirizishe TV iko poa kabisa rangi ni Silva inch 32. Karibu sana
Hii TV ungeipiga picha kiwa na Matangazo ya TBC ingekua poa saaanaaStar x LED inch 43
Full HD ina double screen ( screen protector) - new tv
Location: Dsm ubungo
Price: 590,000/- tshs
Mob: 0766711414
View attachment 1356854View attachment 1356855View attachment 1356856View attachment 1356857View attachment 1356858
Sent using Jamii Forums mobile app
65" 2.7mMkuu Abdulwahid.
Ninaomba Bei ya Sony Bravia yenye ukubwa wa zaidi ya 55inch.
Chap
Sent using Jamii Forums mobile app
Vinakuja mkuu, kuna mzigo nausubiria hapo port, ukitoka kutakua na viwembe vya maana
Vinakuja mkuu, kuna mzigo nausubiria hapo port, ukitoka kutakua na viwembe vya maana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi TV Box S inauzwa kwa bei chee. Hiki ni kifaa kinachoipa uwezo TV yako ambayo siyo smart TV kuwa smart TV na pia hata kama TV yako ni smart lakini haina android OS basi unahitaji kifaa hiki ili kufaidi features za Android.
- inatumia android os
- 4K ultra HD
- ina Google assistant (unatumia voice search)
- ni portable
- 8GB storage kwa ajili ya apps. (unaweza kutumia flash pia kama external storage
- HDMI, USB PORT
Bei yake 150,000
Napatikana DSM, kwa mawasiliano zaidi unaweza kunichek PM, nipigie namba 0752 522 234 au whatsapp 0654 910 120.
Picha moja ni ya kifaa chenyewe kikiwa complete, na nyingine ni jinsi inavyoonekana kwenye tv. View attachment 1369579View attachment 1369583
Sent using Jamii Forums mobile app