Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Fursakibao

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2017
Messages
1,749
Points
2,000

Fursakibao

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2017
1,749 2,000
Nauza projector yenye uwezo mkubwa sana kwa matumizi ya biashara na nyumbani.
Aina-SHARP DLP XG-C10SA

*3200 lumens

*SVGA(800*600)
Full HD(1920*1080)

*lamp life time 10000 hours

Imetumika masaa 770

Yani ipo vizuri sana una weza kutumia masaa 24 bila kujizima.

Bei Tsh 500000 au kama una flat TV tunaweza kubadilishana.nipo Dar

Kwa mawasiliano 0652868486View attachment 1218476View attachment 1218477
Nikikupa Samsung 40 Inch Smart TV unaniongeza shi ngapi?
 

Forum statistics

Threads 1,364,571
Members 520,767
Posts 33,320,488
Top