Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

[QUOTE="Abdulwahid, post: 31661761, member: Aya mkuu ila kwa uzoefu wako je Kati ya hiyo hisense smart na tcl smart ipi ni Bora kuliko nyingine ili nifanye maamuzi
Mkuu me hata sioni tofauti naizona ziko sawa tu, ila kimuonekano hisence iko poa zaidi
 
Hiyo mkuu, model no ntakutumia kesho in shaa Allah mana kwa sasa nishafika homeView attachment 1113148
Hii ni Hisense model HX32N2176H.
Hisense wameanza kutengeneza TV baada ya ku-base sana kwenye AC na fridge.
TV zao ni nzuri sababu bado hazijachakachuliwa, ukipata zile class A hutajuta.
Tatizo lao kubwa hawajitangazi hivyo wengi hawajui products zao.
 
Shukran mkuu

Hp core i3 hdd 500gb ram 4gb Good condition charge life 3hrs Good condition location Dar price 480k. 4 More information 0713 277244.
20190531_114454.jpeg
20190531_114439.jpeg
20190527_113548.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom