Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 25,770
- 67,477
naomba hii vdeo
naomba hii vdeo
Ha ha kweli mkuu, yaan yeye ni kama sipika tu inayozungumza bt muongeaji haonekan hadharaniAnamaana musiba sio kichaa ila ni spika ya mtu fulani.kwahiyo kitaalamu zaidi fuatilia waya kumkuta alie na microphone ya spika
shukran mkuu, wenye jamii yao nao wanawasiliNinazo hapa mkuu,
Karibu sana.
Hyu kp akili kubwa sanaFuatilia mto utokako utakutana na chemchem
Bila shaka ban imeshakuhusu tayarAisee!
Nimewahi seat tu.
Kwanini mkuu?Bila shaka ban imeshakuhusu tayar
kichwa kilicho lala karibu na jiwe kiko hatarini kufyekelewa mbali