Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Yaani Urusi wakidakwa wanakuwa Wapole na wadogo kama piriton. Hutaamini kama ni wale wanaojitapa
 
Urusi wana vifaru vingi ila vinawaka kama karatasi
 
Mamuka akipewa zawadi ya kumbukumbu ya maishani.
20240128_003259.jpg
20240128_003302.jpg
 
Angalia Wanajeshi wa Urusi walivyo changanyikiwa baada ya kurushiwa bomu
 
Wametoka wanapotoka huko urusi, Wakaja Ukraine kuangamiza kizazi cha Ukraine. Wameangamia wao. Warusi walikutana na kichapo cha HIMARS huko Trudivske Mkoani Donetsk. Makomandoo wa Urusi 65 wamekwenda na maji.
urusi2.jpeg
urusi.jpeg
 
🔥 Tver, Russia. Vita haina mwenye.. Huko Urusi wanaipatapata
 
A refinery in the Kaluga. Mkoani Kaluga Nchini Urusi moto wayaka
 
Ila hii ya Tver inapendeza. Urusi hawaamini macho yao. Ukraine inatumia kila upenyo unaopatikana kuhakikisha inamtia hasara Mvamizi Urusi
 
Back
Top Bottom