Special Thread: Video na picha kutoka Vikosi vya Jeshi la Ukraine walio Frontline dhidi ya Urusi

Magari na Vifaru vya Urusi vikiwa vimeteketezwa maeneo ya Bashtanka.
20220320_172824.jpg
 
Salaam Wakuu,

Hii ni Special thread ya Video na Picha kutoka Uwanja wa Mapambano Ukraine kwa Wanajeshi Waliopo Msitari wa Mbele. Hii thread inawahusu timu Ukraine.
View attachment 2158105
View attachment 2157979
Mwanajeshi wa Ukriane PG-7VM rockets
View attachment 2157991
View attachment 2158012

Hiki ni kipigo cha kwanza walichokipata Urusi. Misafara wa Urusi Ulikuwa unaelekea Ukraine. Magari yenye Maandishi ya Z ndo ya Urusi. Na Wanajeshi wenye alama ya njano kwenye bega ndo wa Ukraine
View attachment 2158022
Msiojua propaganda mtakula saana matango pori
 
Hapa jeshi la Ukraine likiwa limeteka Vifaru vya T-72A na vingine kuteketezwa. Pia waliweza kuharibu Magari ya Ugavi. Haya ni maeneo ya Chernihiv Oblast. Ilikuwa Tarehe 03/03/2022
20220320_173652.jpg
20220320_173420.jpg
20220320_173414.jpg
20220320_173444.jpg
 
Special Operations Forces(SOF) ya Ukraine, wakiwa wameharibu Vifaru Vinne vya Urusi aaina ya BMD-2. Hapa ilikuwa ni Irpin tarehe 03 Machi 2022
 
Warusi waliipatapata tarehe 03 Machi 2022. Hapa ni maneneo ya Gym kyiv na Kadyrov. Warusi ilibidi warudi nyuma
20220320_174712.jpg
20220320_174718.jpg
 
Hiki ni Kifaru cha Urusi aina ya TOS-1A, kikiwa Mikononi mwa Ukraine
 
Stugna-P ATGM ya Ukraine ikiharibu kifaru MBT cha Urusi
 
Wananchi wa Mkoa wa Zaporizhzhia waliojitokeza kujiunga na jeshi ili wapambane na Urusi. O5 Machi 2022
 
UAV Orlan-10( unmanned aerial vehicle) ya Urusi iliangushwa Mkoani Mykolaiv
20220320_181018.jpg

Na hizi ni ndge zilizodunguliwa. Hayo Mabomu ya 3 FAB-500, yalikuwa ndani ya ndege, ilipoanguka yakasambaa kila sehemu hapa ilikuwa Mkoa wa Chernihiv. Ndege ni Su-34.

The Sukhoi Su-34 is a Soviet-origin Russian
20220320_181048.jpg
20220320_181051.jpg
20220320_181031.jpg
20220320_181034.jpg
20220320_181036.jpg
 
Back
Top Bottom