Trayvess Daniel
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 564
- 1,090
Kama kichwa cha habari msaada wa mawasiliano, jina na eneo inakopatikana saluni yeyote nzuri ya nywele tajwa jijini Mwanza.
Nimefanya hii ulivyo niambia nichanganye, nywele zangu zinarud hapa kisogoni, thanx alot sis,Mimi Jamaican black castro oil na extra virgn olive oil.. Nywele zangu zimejitahid speed ya kukua kidogo and zimekua nyeusi
Wow.... Nimefurahi kana zimekua and yes kitunguu does miracles....... Naimani zinafika waistlength saivi .Nimefanya hii ulivyo niambia nichanganye, nywele zangu zinarud hapa kisogoni, thanx alot sis,
Sema nimeongezea nw days najipika huku kichwan(ah ah ah) vitunguu swaum, vitunguu maji, tangawizi na olive oil(extra virgin) nablend baadaye yale maj nachuja nachanganya na mafuta yangu napaka nakaa nayo hata lisaa moja nikiwa nimejivalisha mfuko,
Nikimaliza naosha naweka parachichi na yai na olive oil asali, tena navaa mfuko baada ya nusu saa naosha na maji yaya uvugu vugu maji meengi cz siku hz salun sisogei
Nakausha nywele kidogo nachukua olive oil na costrol oil nachanganya napaka ktk nywel ktk ngoz na juu nachukua tana nachana kuanzia ktk ncha
Nakata nafunga butu moja baada ya jingine nalala nikiwa nimevaa kitambaa kinacho teleza nikiamka nikichana zile nywele uhiii zinavutiaaaaaaaa, very natural ingekuwa watsp ningekutupiamo kapicha
Ndio mchezo wangu siku hz maana niliona olive peke yake inanichanganya
Na too gud mafuta ninayo tumia ktk nywele ndio ninayo paka mwilin cz hayana chemical nipo kama under 18 ah ah ah
Thanx sis kwa ushaur na nimejiongeza kidogo
Ah ah ah huko hazijafika mumy, zipo shingoni. Zikifika huko ppl zitakuwa hazilali maana sio kwa.kuziachia kila.siku ah ah. Thnx once againWow.... Nimefurahi kana zimekua and yes kitunguu does miracles....... Naimani zinafika waistlength saivi .
Usjali with proper care zitafika...Ah ah ah huko hazijafika mumy, zipo shingoni. Zikifika huko ppl zitakuwa hazilali maana sio kwa.kuziachia kila.siku ah ah. Thnx once again
AmeenUsjali with proper care zitafika...
Castor oil unayotengneza mwenyewe ni meusi au ya kawaida tuu? Na kama ni meusi wapi unapata maharage ya kutengenezea?Zangu zilikua kama zako zilinisumbua sana nikanyoa then nikaanza upya na nikabadilisha mafuta natumia castor oil (natengeneza mwenyewe) nachanganya na mafuta ya nazi kidogo na mabadiliko nayaona tofauti na mwanzo
Ni ya kawaida tu ila mazitoCastor oil unayotengneza mwenyewe ni meusi au ya kawaida tuu? Na kama ni meusi wapi unapata maharage ya kutengenezea?
Ninayo mafuta ya castor oil from Jamaican kwa anayehitaj karibu..View attachment 1092364View attachment 1092365
Weka bei tujue kama tunafanya biashara ama vipiNinayo mafuta ya castor oil from Jamaican kwa anayehitaj karibu..View attachment 1092364View attachment 1092365
Bei yakeNinayo mafuta ya castor oil from Jamaican kwa anayehitaj karibu..View attachment 1092364View attachment 1092365