Urembo wa nywele, mitindo mbalimbali ya kusuka na kunyoa

Kama kichwa cha habari msaada wa mawasiliano, jina na eneo inakopatikana saluni yeyote nzuri ya nywele tajwa jijini Mwanza.
 
Habarini za wakati huu nipo hapa kuhitaji msada katika hili, mie ni kijana wa kiume, nina nywele kiasi chake na nywele zangu hizi sitaki kuzinyoa mbaya zaidi nikizichana zinauma balaa na kuzinyoa staki kabisa sijui nini cha kufanya ili zionekane na mvuto kichwani.
 
Mimi Jamaican black castro oil na extra virgn olive oil.. Nywele zangu zimejitahid speed ya kukua kidogo and zimekua nyeusi
Nimefanya hii ulivyo niambia nichanganye, nywele zangu zinarud hapa kisogoni, thanx alot sis,

Sema nimeongezea nw days najipika huku kichwan(ah ah ah) vitunguu swaum, vitunguu maji, tangawizi na olive oil(extra virgin) nablend baadaye yale maj nachuja nachanganya na mafuta yangu napaka nakaa nayo hata lisaa moja nikiwa nimejivalisha mfuko,
Nikimaliza naosha naweka parachichi na yai na olive oil asali, tena navaa mfuko baada ya nusu saa naosha na maji yaya uvugu vugu maji meengi cz siku hz salun sisogei

Nakausha nywele kidogo nachukua olive oil na costrol oil nachanganya napaka ktk nywel ktk ngoz na juu nachukua tana nachana kuanzia ktk ncha
Nakata nafunga butu moja baada ya jingine nalala nikiwa nimevaa kitambaa kinacho teleza nikiamka nikichana zile nywele uhiii zinavutiaaaaaaaa, very natural ingekuwa watsp ningekutupiamo kapicha

Ndio mchezo wangu siku hz maana niliona olive peke yake inanichanganya

Na too gud mafuta ninayo tumia ktk nywele ndio ninayo paka mwilin cz hayana chemical nipo kama under 18 ah ah ah

Thanx sis kwa ushaur na nimejiongeza kidogo
 
Wow.... Nimefurahi kana zimekua and yes kitunguu does miracles....... Naimani zinafika waistlength saivi .
 
Wow.... Nimefurahi kana zimekua and yes kitunguu does miracles....... Naimani zinafika waistlength saivi .
Ah ah ah huko hazijafika mumy, zipo shingoni. Zikifika huko ppl zitakuwa hazilali maana sio kwa.kuziachia kila.siku ah ah. Thnx once again
 
Zangu zilikua kama zako zilinisumbua sana nikanyoa then nikaanza upya na nikabadilisha mafuta natumia castor oil (natengeneza mwenyewe) nachanganya na mafuta ya nazi kidogo na mabadiliko nayaona tofauti na mwanzo
Castor oil unayotengneza mwenyewe ni meusi au ya kawaida tuu? Na kama ni meusi wapi unapata maharage ya kutengenezea?
 
Habarini wapendwa, , Mimi nina nywele ambazo niliweka dawa , lkn kwa sasa nahitaji nywele zangu za asili , wengi wananishauri nikate nianze upya lkn nywele zangu hazikui kwa haraka, naombeni km kuna mtu anajua njia nyingine ya kuondoa hii dawa kwenye nywele ili nibaki na za asili.
AHSANTE.
 
Write your reply... kwa aliepata chuo cha ustawi ngazi ya cheti na anahitaj chumba karibu na chuo cha ustawi wa jamii bamaga
 
Ninayo mafuta ya castor oil from Jamaican kwa anayehitaj karibu..
255684755382_status_7ab8986e2d204478a934301bfed1851e.jpeg
255684755382_status_f116c49f0b8e49768126eec7e8b25122.jpeg
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom