Hakuna dawa ya kuunguza nywele na kuzilainisha kuwa za kihindi ambayo haina madhara.
Usijidanganye.
Situmii dawa za nywele ila nasikia wawekaji wanaisifia MEGA, na huwa naona kweli nywele zibapendeza, zinajaa na zinarefuka...
Mwalimu mimi nimevamiwa na upara,je hiyo mega inafaa kupambana na upara pia?Situmii dawa za nywele ila nasikia wawekaji wanaisifia MEGA, na huwa naona kweli nywele zibapendeza, zinajaa na zinarefuka...
Teh hiyo haitibu upara bana, kuna mama anauza sijui unaitwa udongo, zainab's clay....Mwalimu mimi nimevamiwa na upara,je hiyo mega inafaa kupambana na upara pia?
Mi nna dreads ndo maanaKama hautajali unaweza kueleza kwanini hautumii dawa ukawasaidia wenzako? Ubarikiwe
Samahan naomba nsaidie no za huyo udongo zainab kama unazoTeh hiyo haitibu upara bana, kuna mama anauza sijui unaitwa udongo, zainab's clay....
Huwa naona anausifia unarudisha nywele, jaribu kumcheki
0769302206Samahan naomba nsaidie no za huyo udongo zainab kama unazo
Woow thanks hnyZangu zilikua kama zako zilinisumbua sana nikanyoa then nikaanza upya na nikabadilisha mafuta natumia castor oil (natengeneza mwenyewe) nachanganya na mafuta ya nazi kidogo na mabadiliko nayaona tofauti na mwanzo