Urembo wa nywele, mitindo mbalimbali ya kusuka na kunyoa

Hakuna dawa ya kuunguza nywele na kuzilainisha kuwa za kihindi ambayo haina madhara.

Usijidanganye.
 
Dawa nzuri ni zile za garama the more high price na the more uzuri Wa dawa
 
Mwenye ushauri mzuri kuhusu nywele naomba aweke sign hapa. Nilikuwa na nzuri saana ila ssa sjui zimekuaje zmekakataa hazisogei kabisaa yaan nkichana zinakatika saana, zinauma, zmekua nyekundu tofauti na zamani,nkasema nistopishe kuweka dawa since mwaka jana Augustus sjaziwekea dawa.
natumia ojoojo tu na kusuka basi .
 
Zangu zilikua kama zako zilinisumbua sana nikanyoa then nikaanza upya na nikabadilisha mafuta natumia castor oil (natengeneza mwenyewe) nachanganya na mafuta ya nazi kidogo na mabadiliko nayaona tofauti na mwanzo
 
Zangu zilikua kama zako zilinisumbua sana nikanyoa then nikaanza upya na nikabadilisha mafuta natumia castor oil (natengeneza mwenyewe) nachanganya na mafuta ya nazi kidogo na mabadiliko nayaona tofauti na mwanzo
Woow thanks hny
 
Nilikuwa natumia radiant toka nmeanza nilivoona zinadhoofika saan nkaamua niache so since hiyo August cjawahi weka dawa
 
Jaribu kutumia mafuta ya asili kama ulivyoshauriwa hapo juu, mafuta km shea butter, olive, castor, fanya steaming natural ya mchanganyiko wa parachichi, asali mbichi, yai bichi na tangawizi. Mwisho kbs km uko Dar, fika magomeni Morroco duka Shantelle anauza vitu natural na wengi wanatestimony nzuri na products zake. Anaitwa Tahiya
 
Jamani. Mi mke wangu akisuka nywele zinakatika usoni. Akiweka wigi zinaisha usoni. Akiachia tu zinaanza kuota.

Afanyeje maana nataka aonekane mrembo
 
Back
Top Bottom