Urembo wa nywele, mitindo mbalimbali ya kusuka na kunyoa

Pole Sana jitahid kununua vitu vyako kuanzia shampoo,Dawa,mafuta,steaming.tambua nywele yako Ni sina gani waone wataalamu ndo uweze kununua vitu jitahid kupaka mafuta kufanya steaming Na kuset nywele zako kwa wakat
 
1468478961524.jpg
8192e304f28ef6e510315f278bc4b187.jpg
824377fcae1ddc850e9f40da6a26341c.jpg
619b73bfdb34e5082c643d61e326887b.jpg

Tunashonea na kubond mitindo yote ya nywele...tunauza handmade wigs na maweaving OG na synthetic...tupo mabibo karibunu
Au tufollow inta @wi_wigs_stylist
 
Waungwana,

Naomba kujuzwa ni namna gani ya kutunza nywele maana napenda nywele zisiwe ndefu sana ziwe nyeusi, kung'aa na zenye kunawiri ila nashindwa sababu sijui nitumie mafuta gani au kitu gani ili ziwe na muonekano mzuri.

Hua zikikua kidogo zinaturn brown kwa mbali kitu ambacho hunikera
sasa waungwa, naombeni tips jinsi ya kuzitunza ziwe na muonekano mzuri, either nitumie mafuta gani au mavitu gani ili ziwe poa.

Natanguliza shukrani za dhati kwa michango yenu.
 
waungwana naomba kujuzwa ni namna gani ya kutunza nywele an napenda nywele zsiwe ndefu sana ziwe nyeusi, kung'aa na zenye kunawiri ila nashndwa koz cjui ntumie mafuta gan au kitu gan il zwe namuonekano mzuri
hua zkikua kdogo zinaturn brown kwa mbal ktu ambacho hunikera
xo waungwa naombeni tips jinsi ya kuzitunza ziwe na muonekano mzuri, either nitumie mafuta gan au mavitu gan ili zwe poa
natanguliza shukran za dhat kwa michango yenu.
tatizo wengine wana kipilipili alafu anataka nywele ikuwe na Iwe na muonekano poa ni impossible
ila kama una nywele poa unaweza tumia mafuta ya maji kama olive hair oil iko poa sana
 
Hope mu wazima, nimenyoa nywele lakini nahitaji kuweka curl na cjawah kuweka, naomba mniambie ukiweka inadumu kwa Muda gani,? Pia mnaweza nishauri nizifanyeje instead of curl. Karibuni.
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom