Special Thread-Urembo wa nywele

CONTROLA

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2019
Messages
3,195
Points
2,000

CONTROLA

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2019
3,195 2,000
Nampenda sana mwanamke anaependa nywele zake na kuzijali

ila tu ni yule mwanamke anaetumia pesa zake kwenye nywele zake

kama jinsi anavyojua tumia pesa zake kununua pchupi zake ndio iwe hivyo hata kwenye nywele

wale wafuga nywele halafu wanataka misaada ya watu wa marekani siwafagilii

maana automaticaly wapo kwenye kundi la wasiojua Umuhimu wa nywele zao.

Anything which you can not use your money to do it means has no meaning to you at all.
 

Forum statistics

Threads 1,380,739
Members 525,856
Posts 33,778,363
Top