Urembo wa nywele, mitindo mbalimbali ya kusuka na kunyoa

Nimempa bei ya chupa 1 ya 236ml (8oz) ya 'Jamaica Black Castor Oil Hair and Eyelash growth' ikiwa na chupa moja ya 'coconut oil' ambavyo vyote ni US $50.05 na shipping US $3.16.

Nimetumia na kuridhika kabisa, kwa kuwa mabadiliko yalonekana katika wiki moja tu.

Hizo ulizoonesha hapo juu sina uhakika nazo.

Screenshot_2017-04-17-14-29-13.png
Screenshot_2017-04-17-14-29-03.png
Screenshot_2017-04-17-14-28-26.png
 
Kwa jumla au? Yani unapata mengi;
Kama Ni chupa moja sidhani Kama upo sahihi.
Kwa kuagiza lazima iwe hiyo bei lakini angenunua hapa ingekuwa bei nafuu zaidi, bei ni kama ulivyosema yako ya 20k,45k,50k na 60k kutegemea na chaguo la mtu. Lakini yote kazi ni moja kama ulivyomshauri.
 
Nipeni ya kunenepesha ndevu zangu tu jamani. Natamani zikue hadi magotini na ziwe na afya
 
jeee nikiwa nanyoa sehem za siri baada ya mda vipere vinstokea , Msahada tafadhal..
 
Miniko kahama ntayapataje?
Sina uhakika I say na huko kahama.ila jaribu kuanza kuangalia pharmacies,hasahasa pharmacy kubwa na maduka yanayouza vitu vya asili eg: virgin coconut oil,olive oil,almond oil etc...hata maduka ya mafuta ya nywele pia usisite kuulizia. Natumai utapata
 
Habarini,nywele zangu ni kavu pia ngumu na huwa zinakatika ni mafuta yapi yatayofaa ili kuziweka sawa?
 
Habarini,nywele zangu ni kavu pia ngumu na huwa zinakatika ni mafuta yapi yatayofaa ili kuziweka sawa?
Nami ni mhanga nilishauriwa nifanye steaming ya mafuta ya nazi ya mgando,nazi ya dukani azam na nazi zzt zinazouzwa madukani nichanganye na mtindi alafu nivae kofia baada ya 15 mnts nioshe bila shampoo.
 
Back
Top Bottom