Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 2,392
- 3,053
Kweli kuna vitu ukivijua vitakutoa kwenye giza.Unajua vipo vitu ukivijua vitakutoa kwenye giza.
Wapi aliposema isipokuwa watoto? Mnatumia andiko lipi kutenga watoto? Mtoto ni mtoto kimwili ila ni roho kamili! Ndio maana anarithi dhambi ya asili inayoondoka kwa ubatizo tu!
Mfano dhambi ya asili, hii concept haiingii akilini. Dhambi ni pale kwa kujitambua unapomkosea Mola wako mengine ni makosa tu.
Nitaungana na Mathanzua kuwa ubatizo wa kweli ni kitu cha kiutu uzima. Wabatizwe watu wakiwa watu wazima.
Na cha msingi hapa ni akili na roho yake, hayo mambo ya maji ya Yordan, mara maji ya kibeseni bwana Shehullohi , au maji ya swimming pool hayana msingi. Ubatizo ni pale mtu anapoexperience ile change of mind na kukubali kuyafuata aliyofundisha Kristu.
Tena achana na maji tu kuna ubatizo unafanyika hadi kwa bhangi tena huo ndo kiboko sasa. The change of mind is spectacular😂😂