Artificial intelligence
JF-Expert Member
- Jan 28, 2021
- 1,262
- 2,191
- Thread starter
- #601
Jesuit siyo jamii ya siri kiasi kwamba isijulikane, kwa sasa imejiweka wazi zaidi na inajulikana kila sehemu duniani kote japo bado inaendesha mipango yake kwa siri.Mmh mbona mambo magumu hayo, ilithibitiswaje kwamba papa Francis n Moja wapo ya jesuit?
Kuthibitisha ni kufanya uhakiki wa taarifa mbali mbali wanazozikusanya waandishi wa hivi vitabu, na kufanya mahojiano na members kadhaa wa jamii hiyo, kutokana na hilo wamemtaja kama mojawapo ya watu waliokuwa viongozi wakuu wa Jesuit duniani kabla ya kuchaguliwa kuwa Papa.