Special thread; Tamthilia ya Siri za Familia Inayorushwa EATV

Kweli mzee umejitahidi kutuvutia kwa wanawake wenye mishape ile...ila nimegundua upande wa tamthilia yenye mipangilio ya kueleweka huku kwetu badoooo saaana.. Yan Tamthilia nzima INA dk 20 bado matangazo kila baada ya story mbili.. Na tangazo ni lina sec 75 ,anyway at the end we should learn to appreciate.
 
Nadhani wanataka waifanye kama isidingo the need..nilibahatika kuangalia episode za mwanzoni sijaangalia mda mrefu
 
sanctus mtsimbe nilichogundua ni business minded guy. Amejua kipi kitavuta watazamaji. Hahaha
Watazamaji wanapenda;
Story nzuri zenye suspense zinazohusu Pesa mapenzi mamlaka nk
WAIGIZAJI wazuri wenye vipaji
Location nzuri zinazoendana na uhalisia
Ubora wa picha
Ubora wa Sauti
Sound track nzuri

Kwa Sasa Kuna WAPENZI wengi wa Tamthilia za wafilipino Wachina Wa Brazil's Mexico South Africa wakorea nk. Tunajaribu kukimbizana na wao kulingana na Bajeti yetu na Yeknolojia. Asanteni sana kwa kutuunga mkono
 
kuna moja sijui anaitwa brenda ni level za kilatino. Hahaha
Teh teh teh hawa jamaa walichagua waigizaji wa kike wanaovutia kuanzia Season ya kwanza hadi kesho Dayana, Sheila, Suzan Benard, Rachel, Brenda, Jack, Vivian.

Hatari sana
 
Wadada wanaocheza siri za familia misimu yote, 1-5 wananifikirisha sana. Yaani huwa nawaza labda kwenye audition zao wanaambiwa: Hebu hapo ulipo geuka dada. Akigeuka, anayesaili anaweka tiki au x.Asilimia 80 wanapata tiki wakigeuka maana aisee wana vitu vya uhakika wakigeuka!

Mhusika mmoja kijana mwanaume aitwaye Desmond alipata ukichaa alipokutana na mhusika wa kike baada ya kumwona huyo msichana akienda zake.Bidhaa alizobeba huyo msichana hazikuwa za kawaida, Desmond alimwomba namba zake za simu.

Nimewahi kusikia wanaotazama siri za familia wakisema kwamba ili mdada acheze siri za familia ni lazima 'aeleweke' akigeuka.Nawaunga mkono asilimia 70.

Wadada wa siri za familia bwana, duh!
 
Back
Top Bottom