Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,060
- 11,107
Umeandika nini hiki???hebu soma kwanza
Heri yako wewe, labda umesoma mpaka mwisho!Umeandika nini hiki???hebu soma kwanza
😂😂😂😂😂😂Kuna msemo usemao “When life gives you lemons, make lemonade”
Kwa wale ambao tunaishi mjini na tuna wazazi, ndugu, jamaa na marafiki waliopo vijijini, tutumie mabango ya CCM kuwahamasisha hao watu wetu waliopo vijijini kuhakikisha hawapigi kura hata moja kwenye picha hizo zilizo zagaa kwenye makazi yao. Badala yake tuwahamasishe wapige kura ya urais kwa Tundu Lissu na zile za wabunge na madiwani ziende kwa Chadema.
Kazi yetu ni imerahisishwa na hayo mabango. Ni kuwaeleza wenzetu kwamba katika sura zilizopo kwenye hayo mabango, wasiweke kura zao.
Kazi yetu ni imerahisishwa na hayo mabango. Ni kuwaeleza wenzetu kwamba katika sura zilizopo kwenye hayo mabango, wasiweke kura zao.Kuna msemo usemao “When life gives you lemons, make lemonade”
Kwa wale ambao tunaishi mjini na tuna wazazi, ndugu, jamaa na marafiki waliopo vijijini, tutumie mabango ya CCM kuwahamasisha hao watu wetu waliopo vijijini kuhakikisha hawapigi kura hata moja kwenye picha hizo zilizo zagaa kwenye makazi yao. Badala yake tuwahamasishe wapige kura ya urais kwa Tundu Lissu na zile za wabunge na madiwani ziende kwa Chadema.
Kazi yetu ni imerahisishwa na hayo mabango. Ni kuwaeleza wenzetu kwamba katika sura zilizopo kwenye hayo mabango, wasiweke kura zao.
Kuna msemo usemao “When life gives you lemons, make lemonade”