This is too low grade from you... Think and wite something sensible...
Hiyo chip imepachikwa wapi? Inaitwaje? Imetengenezwa nchi gani? Mwaka gani?
Taifa gani linahusika???
 
Kitendo cha mtetezi wa maslahi ya mabeberu nchini Tundu Lissu kukubali kupachikwa kifaa kinachonasa taarifa za Tanzania ni kukosa uzalendo.

Kifaa hicho alipachikwa mwilini mwake akiwa ughaibuni ambapo alikua akizunguka mataifa mengi eti kuishitaki Tanzania kwa mabeberu.

Kwa ufupi hana sifa za kuwa kiongozi. Tumeona mgombea wa nchi fulani akikosa kura kutokana na kutumia baruapepe binafsi kwa shughuli za kiserikali. Sembuse yeye anaevujisha taarifa nzito za nchi.

Lissu anafuata nyayo za kiongozi wa taifa fulani ambae alisaidiwa kuingia madarakani na taifa jingine.

Eti huyu tumpe nchi yetu aiongoze? Loooh. Atatuuza sote. Hafai kuwa msimamizi wa umma na rasilimali za umma.

Kwakweli, hatuko tayari kumchagua Gorbachev (Lissu) kwasababu ataisambaratisha nchi yetu.

Huyo ndio Rais wetu wa Awamu ijayo aliye tayari kulivua nguo taifa kwa kwa maslahi tu ya mabeberu na chuki yake dhidi ya Serikali ya awamu tano. Watanzania, Je huyu ana dhamira ya dhati ya kuilinda nchi yake kweli!? Tafakari.
Zuzu jingine limezaliwa Lumumba
 
Umeona unaongea cha maaaana.....
 
Katika kufatilia kampen za Mgombea Urais kupitia Chama cha Chadema nimegundua kua Mgombea huyo Hua anapenda kufanya mikutano yake Maeneo yenye Mikusanyiko ya Watu mfano sokon stand na maeneo ya makutano Mengi ya watu

Mfano Dar Mbagala zakiem
Singida sokon karibia na maeneo ya mnada
Mwanza mwalon karibia na Mwanza plaza
Maeneo ni mengi mana sehem zote ambazo amesha fanya Kampen lazima iwe sehem yenye Mikusanyiko ya Watu

Na kwa kufikiria tu kwa haraka ni kwamba Tundulisu anajua wazi Kabisa kua endapo atatenga eneo la mbali na wazi hatoweza kupata watu kama ilivyo tokea Zanzibar mana waliomba kuweka mkutano karibu na soko wakanyimwa na kupewa eneo la nje kidogo ya mji kilicho tokea ni Aibu ya kiwango cha lami

Chadema wanatumia kila mbinu kulaghai watu kua wanakubalika wakat ukwel wanao wao na Wana faham kua Nini kitatokea baada ya io October

Yetu sis Macho tu ila ukwel utabaki kua ukweli

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Taifa linapoteza vijana wenzetu UVCCM wanaokubali kulishwa taarifa za ajabu kama hii.

Ndo maana CHADEMA inasisitiza uhuru na uhuru ni jambo mtambuka linahusu masuala mengi ikiwemo uwezo wa kuhoji taarifa za kijinga kama hii ya 'chip' kwa kuwa na fikra-huru.
 
Katika kufatilia kampen za Mgombea Urais kupitia Chama cha Chadema nimegundua kua Mgombea huyo Hua anapenda kufanya mikutano yake Maeneo yenye Mikusanyiko ya Watu mfano sokon stand na maeneo ya makutano Mengi ya watu

Mfano Dar Mbagala zakiem
Singida sokon karibia na maeneo ya mnada
Mwanza mwalon karibia na Mwanza plaza
Maeneo ni mengi mana sehem zote ambazo amesha fanya Kampen lazima iwe sehem yenye Mikusanyiko ya Watu

Na kwa kufikiria tu kwa haraka ni kwamba Tundulisu anajua wazi Kabisa kua endapo atatenga eneo la mbali na wazi hatoweza kupata watu kama ilivyo tokea Zanzibar mana waliomba kuweka mkutano karibu na soko wakanyimwa na kupewa eneo la nje kidogo ya mji kilicho tokea ni Aibu ya kiwango cha lami

Chadema wanatumia kila mbinu kulaghai watu kua wanakubalika wakat ukwel wanao wao na Wana faham kua Nini kitatokea baada ya io October

Yetu sis Macho tu ila ukwel utabaki kua ukweli

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Matako kweli weee
 
Unataka akafanyie mbugani ?

Ukitoa viwanja vya zakheem mbagala kuna viwanja vya wazi kwa ajili ya tukio ambalo ni more public ?
 
Katika kufatilia kampen za Mgombea Urais kupitia Chama cha Chadema nimegundua kua Mgombea huyo Hua anapenda kufanya mikutano yake Maeneo yenye Mikusanyiko ya Watu mfano sokon stand na maeneo ya makutano Mengi ya watu

Mfano Dar Mbagala zakiem
Singida sokon karibia na maeneo ya mnada
Mwanza mwalon karibia na Mwanza plaza
Maeneo ni mengi mana sehem zote ambazo amesha fanya Kampen lazima iwe sehem yenye Mikusanyiko ya Watu

Na kwa kufikiria tu kwa haraka ni kwamba Tundulisu anajua wazi Kabisa kua endapo atatenga eneo la mbali na wazi hatoweza kupata watu kama ilivyo tokea Zanzibar mana waliomba kuweka mkutano karibu na soko wakanyimwa na kupewa eneo la nje kidogo ya mji kilicho tokea ni Aibu ya kiwango cha lami

Chadema wanatumia kila mbinu kulaghai watu kua wanakubalika wakat ukwel wanao wao na Wana faham kua Nini kitatokea baada ya io October

Yetu sis Macho tu ila ukwel utabaki kua ukweli

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Ukwel mtakua mnao ila mtafanyaje Sasa

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Huu uchafu ndio mmekubaliana kwenye vigroup vyenu vya WhatsApp kuja kupost.

Inasikitisha sana, kuona mwadam wa aina yako, ni wazi uwezo wako wa hoja ni mdogo sana hivo kutumia muda wangu kuzungumza na wewe kwa hoja itakuwa dhambi kubwa sana, maana ntakuwa napiga puch 10000 kwa dakika afu mtu kumbe mgonjwa wa akili. Huna hoja.
 
Mwanzo nilidhani ni utani na hoja hii ingalikufa yenyewe lkn kadili siku zinavyokwenda inazidi kukomaa. Ni kama watu wameamua kujichanganya wenyewe bila kujua. Wanataka tumchague rais kwa sababu amenusurika kifo. Come-on guys, urais wa nchi uheshimiwe usirahisishwe namna hiyo!

Watu wa Mungu tusaidieni, Daniel alipoyashinda mauti baada ya kutupwa ktk tundu la Simba hakudai kuwa Mfalme wa Babeli. Daniel aliponusurika ktk hatari ile watu wote ktk Babeli waliamuliwa kumuamini Mungu wa Daniel lkn sio kumfanya Daniel kuwa Mfalme wa Babeli.

Yesu Kristu alikufa msalabani kwa kugongwa misumali, baada ya siku tatu akayashinda mauti, akafufuka. Baada ya kufufuka Yesu akajiendea zake mbinguni hakutaka kuwa mfalme wa Dunia. Ukuu wa Dunia na ukuu wa Mungu ni vitu viwili tofautu. Kuyashinda mauti ni ukuu wa Mungu malipo yake hayapo Duniani yapo huko kwa Mungu.

Wanaomwambia Lissu kuwa anafaa kuwa rais kwa sababu aliyashinda mauti wanamdanganya bure. Kwa ukuu ule wa Mungu, Lissu anapaswa kuwa Mchungaji au Askofu kama Josephat Mwingira ili amshuhudie Mungu ukuu wake.

Watu waache utani na Taifa hili, tuache mzaha katika nafasi ya urais. Kuyashinda mauti sio kibali cha kwenda Ikulu. Ikulu isirahisishwe kiasi hicho, Ikulu ni Maisha ya watu, Ikulu ni ustawi wa Nchi, Ikulu ni uhai wa Taifa. Ikulu haendi mtu kwa kuonewa huruma ama kulipwa fadhira.
Ikulu anakwenda mtu kwa sifa zake.

Mwambieni Baba Askofu Josephat Mwingira kuwa Lissu ni mshindi dhidi ya mauti lakini sio mshindi wa kiti cha uraisi. Mauti na urais ni vitu viwili tofauti, mauti ni jambo la kiroho, kitume ambalo linaweza kupongezwa kanisani au ktk nyumba za ibaada. Urais ni kazi, ni utumishi na majukumu hauwezi kutolewa kama pongezi au fadhira kwa mtu yeyote.

Baba Askofu Josephat Mwingira anaweza kumpongeza Lissu kwa kumfanya kuwa Mtawa katika Kanisa lake, anaweza kumfanya Lissu aokoke awe mfuasi wake ili kuonesha ukuu na utukufu wa Mungu lakini hawezi kumfanya Lissu rais kwa sababu ya kukishinda kifo.

Watu wa Mungu tusaidieni. Mungu humponya mtu ktk roho ya mauti ili kuonesha ukuu wake sio kumfanya kuwa mkuu kwa wenzake. Waambieni waamini wenu kuwa urais na mauti havihusiani hapa Duniani kila kimoja kina nafasi yake. Unaweza kuukosa urais kwa sababu ya mauti lkn hauwezi kuupata urais kwa sababu ya mauti!

Nchi hii ikikosa kiongozi mathubuti leo, hitoria ijayo itaaandika kuwa nchi ilikosa rais bora kwa sababu watu wa Mungu walibeba visasi na risasi.

Ni jambo la bahati mbaya kuwa Maaskofu wameamua kutumia mimbari yao kulipa visasi. Tunamtaka rais anaetambua kuwa Watanzania wanahitaji elimu bora, afya bora zaidi, miundombinu imara na bora kuliko ilivyo sasa. Tunamtaka rais anaeweza kujitoa kwa ajili ya Taifa lake, rais imara, mzalendo asiyeyumbishwa na mtu yeyote. Tunamtaka rais jeuri dhidi ya uharamia wa mali za nchi. Tunamtaka tena John!!

Tanzania inamtaka rais anaeweza kusema hapana katika mambo ya kijinga na watu wakaelewa hivyo, rais anaeweza kusimama peke yake katika dhiki kutetea haki ya nchi yake. Tundu Lissu hana sifa hizo na hakuwahi kuwa nazo.

Tunamtaka rais imara, jasiri, shujaa anaeweza kusimama mbele kama kiongozi wa mapambano kishà wananchi tumfuate. Tunataka kumchagua rais kwa sifa zake sio kwa sababu amenusurika mauti. Tunaomba watu watuelewe kuwa hatuchagui mtu kwenda Ikulu kama pole, faraja ama fadhira. Tunachagua mtu kwenda Ikulu kufanya kazi kwa niaba ya Watanzania. Ikulu ni mzigo mzito, mzigo mzito mpe Msukuma!
Mitano Tena!
 
Jamani makalio nayo yangetakiwa yafikiri ili mawazo yanayotoka huko yasiwe yanatufikia sisi tunafikori kwa kusikia maana mawazo mengine kama haya yanatakiwa yawe chooni tu
 
Muogope Mungu kama hujuwi Bible funga bakuli lako. Daniel alikuwa Nabii wa Mungu hivyo hakuitaji ufalme wala hakuhuwitaji hata bure. Hivyo usilete mahoka yako hapa eti Lisu same like Daniel. Pambana na hali yako
 
Back
Top Bottom