Wakuu
Huyu Bibi nimekutana nae kwenye Dalala mkoa x anasema atamchagua Lissu kwa sababu akiwa anahitubia wala hafoki kama viongozi wengine
Nadhani sasa ni muhimu kwa viongozi kujifunza lugha za kuongea na wananchi unapowahutubia maana mwananchi ndio mwenye nchi yake sio kumfokea wala kumtisha hapana
Huyu Bibi kanieleza hivo nikabaki nimeinamisha kichwa.
 
..Kuna watu wanne muhimu sana ambao Tundu Lissu aliwataja kuhusu tukio lake.

1. Khadija Juma Akukweti.

2.Amina Abrahman Kanyama.

3.Adam Mohamed Bakari.

5. Salim Turky [sasa ni marehemu].

..Hao watatu wa kwanza ndio waliomtoa TL toka eneo / area D aliposhambuliwa mpaka Dodoma Hospitali.

..Salim Turky ndiye aliyetoa udhamini ili ipatikane ndege ya kumsafirisha TL toka Dodoma kwenda Nairobi.

..Pia wapo madaktari na wauguzi wa Dodoma Hospitali ambao walim-stabilize ili aweze kutolewa Dodoma kwenda Nairobi.
Mungu awabariki sana popote walipo. Angalia Tundu ni mkristo list ya waliotoa msaada wote waislam.

Hii inanikumbusha hadithi ya Msamaria na myahudi aliyepigwa na wanya'nganyi.
 
Wakuu
Huyu Bibi nimekutana nae kwenye Dalala mkoa x anasema atamchagua Lissu kwa sababu akiwa anahitubia wala hafoki kama viongozi wengine
Nadhani sasa ni muhimu kwa viongozi kujifunza lugha za kuongea na wananchi unapowahutubia maana mwananchi ndio mwenye nchi yake sio kumfokea wala kumtisha hapana
Huyu Bibi kanieleza hivo nikabaki nimeinamisha kichwa.

Mwaka huu jiwe kazi mbona anayo?
 
Ccm matairi yote yamepata Pancha
Mpaka mzee amepata pancha
IMG_20200926_181306.jpeg
 
Tanzania umepata uhuru wa bendera 1961, lakini cha kushangaza hadi kufikia 2020 bado ccm wanatoa ahadi ya kuchimba visima
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
..Kuna watu wanne muhimu sana ambao Tundu Lissu aliwataja kuhusu tukio lake.

1. Khadija Juma Akukweti.

2.Amina Abrahman Kanyama.

3.Adam Mohamed Bakari.

5. Salim Turky [sasa ni marehemu].

..Hao watatu wa kwanza ndio waliomtoa TL toka eneo / area D aliposhambuliwa mpaka Dodoma Hospitali.

..Salim Turky ndiye aliyetoa udhamini ili ipatikane ndege ya kumsafirisha TL toka Dodoma kwenda Nairobi.

..Pia wapo madaktari na wauguzi wa Dodoma Hospitali ambao walim-stabilize ili aweze kutolewa Dodoma kwenda Nairobi.
Halafu ni WA dini moja, Mimi ni mkristo lakini hakuna awamu Bora kama zilizoongozwa na Ma Rais waislamu ,wenzetu Wana hofu ya MUNGU.
 
Back
Top Bottom