Wakuu
Huyu Bibi nimekutana nae kwenye Dalala mkoa x anasema atamchagua Lissu kwa sababu akiwa anahitubia wala hafoki kama viongozi wengine
Nadhani sasa ni muhimu kwa viongozi kujifunza lugha za kuongea na wananchi unapowahutubia maana mwananchi ndio mwenye nchi yake sio kumfokea wala kumtisha hapana
Huyu Bibi kanieleza hivo nikabaki nimeinamisha kichwa.