Mtajazana Upepo sana humu
Lakini Hakuna Lolote
Hao ni wahuni tu kama wahuni wengine
Alipigiwa Deki Lowassa Lisu Ndio nani!!
Msibadilishe Id zenu Kumi kumu
 
Mtajazana Upepo sana humu
Lakini Hakuna Lolote
Hao ni wahuni tu kama wahuni wengine
Alipigiwa Deki Lowassa Lisu Ndio nani!!
Msibadilishe Id zenu Kumi kumu
Umejibu nikichokua najibu, kuna waliodeki barabara na kumtandikia vitenge na kanga.... leo yuko wapi😂😂😂
Wajumbe ndio hàohao wapiga kura
 
The movement for ukombozi is now regaining its momentum....

The situation in Sumbawanga was real

People fearlessly were shouting

"....Tundu Lissu Rais wetu..."

"...Tundu Lissu Rais wetu...."

"....Magu - fuuli aondoke..."

"....Magu - fuuli aondoke..."

This is reality. Its not a dream....!!

What's coming next? We all know....Magufuli out!!!
View attachment 1572886
Mungu mbariki na mlinde mtoto wako Tundu Antiphas Lissu!! Mshindie uchaguzi wa mwaka huu 2020 kwa Jina lako Yesu Kristo. Na mfanye awe Raisi wetu 2020-2025 kwa Jina lako Yesu Kristo!
 
Anaisumbua mahakama tu, jela lazima aingie
Mku kabla ya mahaka fuatilia ripoti na UN hii ya juzi na mawasiliano ya Mwanasheria wake ndo utajua nini kinachoendelea. Pia jela ni kumwongezea mwendo kumbuka dunia nzima juu ya huyu mtu inafuatilia na kuweka record zao sawa ili wajue pa kuanzia. Hali sio nzuri kwetu ccm juu ya Lisu kwa anayefuatilia haya mambo anajua Lisu alikoegemea ambapo ni kuzuri zaidi vyama vyote
 
Mimi mwenyewe siamini hata kidogo....!

Niko Shinyanga, lakini nilipoiona hii kitu ilinishangaza sana na kunitia hamasa isiyo ya kawaida....

Huyu mtu siyo wa mchezo.....

Kama mzaha, tunaweza kushuhudia siyo tu ushindi wa mtu huyu ktk uchaguzi huu bali MAPINDUZI ktk staili na namna ya ajabu kuwahi kutokea....!

Kwa kweli Mungu ana namna yake ya kutenda mambo yake maana anasema;

"....Njia zangu siyo njia zenu (wanadamu) na mawazo yangu siyo mawazo yenu...."

Tuacheni tu Mungu aitwe Mungu kwa kweli....!
Ameniiiiii!
 
Mku kabla ya mahaka fuatilia ripoti na UN hii ya juzi na mawasiliano ya Mwanasheria wake ndo utajua nini kinachoendelea. Pia jela ni kumwongezea mwendo kumbuka dunia nzima juu ya huyu mtu inafuatilia na kuweka record zao sawa ili wajue pa kuanzia. Hali sio nzuri kwetu ccm juu ya Lisu kwa anayefuatilia haya mambo anajua Lisu alikoegemea ambapo ni kuzuri zaidi vyama vyote
Huko alikoegemea siko zinakotoka kura mkuu. Swala la kushinda au kushindwa tuachie wajumbe
 
Hakuna mkoa Magufuli ana uhakika wa kupata kura nyingi kumshinda Lissu, tunazidi kuona hata ile mikoa ambayo ilionekana kuwa ngome ya CCM lakini wananchi wake sasa wana muamko wa hali ya juu wa mabadiliko.

Hili Lissu ameshalitambua ndio maana anawasisitiza wakapige kura na kuzilinda, ana uhakika kitakachowaokoa CCM ni wizi wa kura tu, nothing else, na huu ni uthibitisho mwingine kwamba hata wale wanaojitokeza kwenye mikutano ya CCM wengi wao ni wapinzani, ukiondoa wale wanaovaa nguo za kijani.View attachment 1572910
Ebwana ndio! jiwe kazi anayo!
 
Sishindani na yeyote hapa JF na wala sina haja ya kufuata ushauri wa Shetani , achana na maandishi yangu endelea kuamini unachoamini
Hapa siyo sehemu ya imani bhana! Hoja ziko wapi? Lete hoja! Umri wote huu JF bado unafuata mtu bila hoja? Au shule ndogo? Kwa nini usihangaike kujisomea ukubwani ili angalau akili ivae kitu fulani?
 
Back
Top Bottom