Mataga mmekuwa kama kuku aliyekatwa kichwa!Mnahaha sana kadri kampeni zinavyozidi kunoga!!!!
Uzi wa namna hii ni dalili ya kuishiwa na kutafuta kujifariji!
Hujui kwamba kampeni ziko kwa ratiba na NEC ndio wamepanga ratiba?😁😁😁😁
Jibu hoja msaliti hana mvuto Dar!
 
1600276896546.png
 
Watu wa DAR ES SALAAM huwa hawajifichi wakiamua kukudharau wala hawakufichi ona huu msafara wa Lisu siku unaenda kwenye uzinduzi wa kampeni MBAGALA ulivyodharaulika na watu wa Dar es salaa hadi unaingia uwanjani njia nzima watu walionyesha kutokujali wala kuwa na habari naye ndio maana akakimbia mji kukimbilia mikoani kwa aibu....
Unateseka sana. Na bado
 
2015 ulikuwa muungano wa vyama vingi(ukawa)na siasa za 2015 ni tofauti na mwaka huu,,,uchaguzi wa mwaka huu ccm ndio wana added advantage kwa sababu wamefanya siasa na kujiimarisha peke yao kwa miaka mitano huku washindani wao wakiwa blocked kwenye jiza nene
 
😆😆😆😆 wazee kweli Lissu kashika watu pabaya, si ndio hawa walioropoka kuwa Lissu mikoani na vijijin hajulikani
Yaaani CCM wamevurugwa na Lissu!! Hawaamini wanachokiona kwa kweli!! Huku Jf wameishia kutunga propaganda na uzushi tu juu ya Lissu na Chadema!!!

Kweli Mungu ameamua CCM wapumzike mwaka huu!!
 
Back
Top Bottom