Ukweli ni kwamba kwa mijini hamna haja ya kutumia nguvu nyigi, ni jambo lilowazi kuwa mnaeleweka na asilimia kubwa ya wakaazi wa mijini kuliko wa vijijini. Hivyo elekezeni nguvu nyingi vijijini ambako midia ni shida. Na Kama mtafanikiwa kuviteka vijiji ushindi wenu ni mapema sana kabla misa ya Kwanza haijaisha CCM itakuwa Chali.
 
mwaka huu haibiwi mtu, ccm walitucheka baada ya uchaguzi wa mwaka 2015 walisema kama wapinzani wanaibiwa kura hawafai kupewa nchi.
 
Haya ni maoni binafsi, kuna usemi usemao chanda chema huvishwa pete. Mh Tundu lissu Rais ni nembo ya taifa na lazima asimamie misingi yote ya maadili na tamaduni zetu kama kiongozi na mtumishi wa umma.

Sasa basi huo utaratibu wako wa kunyoa sipendezi nao na nachukia napomuona mtu anayeitaka Ikulu anakuwa ananyoa kama yule tyrant wa North Korea. Badilika otherwise sisi wasimamia maadili hatutakutofautisha na Mose Iyobo.
 
Haya ni maoni binafsi, kuna usemi usemao chanda chema huvishwa pete. Mh Tundu lissu Rais ni nembo ya taifa na lazima asimamie misingi yote ya maadili na tamaduni zetu kama kiongozi na mtumishi wa umma.

Sasa basi huo utaratibu wako wa kunyoa sipendezi nao na nachukia napomuona mtu anayeitaka Ikulu anakuwa ananyoa kama yule tyrant wa North Korea. Badilika otherwise sisi wasimamia maadili hatutakutofautisha na Mose Iyobo.
Una nyege ww si bure..
 
Wasalaam, natumai kila mtu anayeingia mtandaoni anajionea mada Kali zinazomzungumzia zaidi T. Lisu. Kusema ukweli Lisu ameshangaza watu wengi kwa ujasili alio nao wa kumsema waziwazi Magufuri. Kutokana na Lisu kulitumia vyema jukwaa la siasa, ccm wamejikuta wakichanganyikiwa, Magufuri bado anaamini Mpaka Sasa yeye Ni Raisi kwa kutumia kivuli Cha Katiba mbovu tuliyonayo, ndiyo maana hataki kuvunja baraza la mawaziri Kama alivyofanya do Shein.

Ni kweli katiba inampa kivuli hicho lakini haiondoi matumizi ya BUSARA kwa kiongozi mwanasaisa, Magufuri alipaswa kutumia busara na KUINGIA kwenye kampeni zaidi Kama watangulizi wake walivyofanya, ndiyo maana inawapa wakati mgumu watetezi wake kumtetea maana hawawezi Tena kujibu hoja za wapinzani. Bado Magufuri anapewa coverage kubwa na media lakini unashaangaa Tume inasema kuna mtu anachochea vulugu, KWANI ANAHAMASISHA KUPITIA VYOMBO VIPI VYA HABARI? yaan Mpaka watu watumie bando kumuona Lisu ufananishe na Magufuri tunayemuona kuanzia anatoka nyumbani asubuhi Mpaka anaenda kula?

Ccm ielewe, Lisu anatumia vyema jukwaa la kampeni ndo maana halisi ya siasa. CCM wajikumbushe kampeni za awamu zilizopatikana, Viongozi wa CCM walijipanga kwa kila sector, mipasho kejeli no ili kujihakikishia mgombea wao anatamba jukwaani. Lakini saivi hawana msemaji mwenye mvuto wa kulichangamsha jukwaa, CHADEMA wamejipanga kweli kweli, jukwaa lao linavutia kwa kila mtu, ukisogea kwenye jukwaa la CHADEMA, hata Kama hukuwa na mpango wa kuokoka, unajikuta umeokoka na kukabiliana na Sera za CHADEMA. CCM isitumie jukwaa la kampeni kumtisha Lisu, zaidi ianze upya kujinadi,

Tundu Lisu amekuwa mjadala mkubwa vijiweni na maeneo ya kazi. Anawapa nguvu na hoja kwa watetezi wake nakuwafanya watetezi wa Magufuri kujikuta wanasema, Lisu HAWEZI KUPEWA NCHI, HAPO NDO SIELEWI, KUMBE NCHI INAPEWA KWA MAAMZI YA WATU WACHACHE? safari hii watamtangaza Lisu. Kampeni ndo baado zinaanza.
Good morning
 
Hahaha Magufuli kafanya kampeni tangu 2015 peke yake na akina Pole pole na Bashiru.

Waligawa pesa barabarani, leo hawajui hata waanzie wapi?!

Tume ingeweka orodha ya matusi tujifunze, badala yake wanatishia kuengua wagombea.
 
Back
Top Bottom