karibuni vitenge vizur aina zote na pochi pia ingia kwenye group uone lakini pia waweza nitafuta kwa 0658607111
Vitenge pambe
PhotoGrid_Plus_1600590145580.jpg
PhotoGrid_Plus_1600590309090.jpg
 
Nasikia jamaa anasubiriwa kwa hamu kubwa!!

Bukubo kuna zao la Majani ya Chai, Kahawa na ndizi vyote vimeharibiwa soko na wakulima kukata tamaa sababu ya utawala mbovu wa ccm!!

Bukoba pamoja na mkoa wa "nshomile" lakini vijiji vingi kama sio vyote vina tatzo la maji mkoa mzima!! Ukianzia Katoma, kibeeta, Maiga, Katerero, Kanazi, Kyema, Mugaza, Ibwela, Kabale, Rubale, Izimbya Ruhunga, Kyaka Bugorola nk pote watu wanafata maji km zaidi ya 4!!


Ukiingia Karagwe huko usiseme, zao lao kuu ni kahawa na maharage, Ndizi na Karanga lakini vyote soko nyanganyanga!!

Lissu fanya kitu uwakomboe wana Kagera!!
 
Nimemwona Lissu akiwa Kibondo akimnadi mgombea wake aliyekuwa mbunge miaka ya nyuma, nimepatwa na simanzi sana, dogo kachoka, inaonekana maisha hayamwendei vizuri.

Wakati Lissu akimnadi dogo alikuwa akimeza fundo la kutaka kulia, alikuwa akitetema kama mtoto aliyetoka kupigwa na mamake. Jamani maisha ya kisiasa hayawafai vijana kwani uhai wake ni mfupi mno.

Sasa kilichonishangaza Lissu anawambia wapiga kura wamchague amalizie ujenzi wa barabara kwa mtaji upi? Mambo mengine mbona ya kuudhi sana!
 
Tundu Lisu ni sawa na kuwa amesusiwa afanye yeye peke yake mikutano ya kampeni.

CCM kwa mfano utamwona mama Samia kule Njombe na kule Arusha Kassim Majaliwa vivyo hivyo Rais Magufuli yupo Kigoma wote hao wananadi sera za CCM.

Ajabu kampeni za Chadema ni one man show!Kwanini?!Zama hizi kweli ni za one man show? Yupo wapi Mbowe na Mnyika? Kwa nini na wao wasiigawane Nchi kama wanavyofanya CCM?

Kwa sababu hiyo ya kutoigawana Nchi ki mkakati ni vigumu kuitoa CCM madarakani.
 
Asilimia kubwa ha watanzania sasa hivi wamechoka, hali zao ni mbaya sana kiuchumi, na huo ni uthibitisho mwingine kuwa sera za serikali iliyopo madarakani ni mbovu, hazitufai zimefeli, tunatakiwa tubadilishe serikali mwaka huu.
Ccm ndiyo nia yao kuhakikisha watanzania wanakuwa hoi kiakili na kiafya ili waendelee kuwa tawala.

Ndiyo maana wanajitahidi kuwalaghai kwa bora elimu badala ya elimu bora.
 
Back
Top Bottom