Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,586
- 217,977
CCM haikuwahi kupata mtu wa kuiponda kichwa kama huyu Lissu , mtu duni kama Polepole hawezi kupambana na Lissu wala mtu kama Magufuli asiye na hoja zozote hawezi kupambana na Lissu , sasa Tume ijiangalie , inaenda kudhalilika kabisaNi wingi wa watu kujitokeza kumsikiliza LISSU angalia hapa ni Tarime Vijijini Leo hiii
View attachment 1582809
View attachment 1582809View attachment 1582809