Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Magufuli alia mwenyewe asema amesalitiwa,na kama angejua usariti huo asingethubutu kugombea. Kikwete amtelekeza, Mkapa akimbilia Tanga na Mwinyi nae asepa Zanzibar. Siku 62 za kampeni kikwete aonekana mara 2 tu,cku ya uzinduzi na Morogoro. Mwanza tunamunyoa Magufuli.
CHICAWE;Voters Have Right To Stay 200 Metres
 
Kesho Ijumaa Lowasa atarudi tena hapa Mwanza mjini. Na Mama lowasa leo hii anatinga hapa mwanza,kwa kazi moja tu, kufunga hesabu.
 
Hivi Magufuli anahitaji msaada wa kunadiwa...
Jamaa anatiririka hadi unashindwa ku notice ametumia zaidi ya saa...
Kumsikiliza ni full burudani....HAPA KAZI TU
huyo mwingine bila kusafishwa na longolongo hasafishiki yule bora wambebe kwenye mbeleko afike salama
 
Huyu mkulu akisafirigi ujue kuna kitu kitanuka hapa tz,tumuombe mungu ampe lowassa afya na maisha marefu aweze kututumikia tu
Yes, kumbukumbu zangu zinaonyesha matukio mengi makubwa yametokea akiwa nje ya nchi hata ya bungeni.
 
Koo la lowasa litakuwa linamuwasha sasa,linasubiri kukunwa tar 25,jana magu kafanya balaa dar si kitoto
 
Magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli magufuli
 
Lowasaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Ikulu yake mjichekeshe na midela yenu na mikofia yenu.
 
hali ni tete ukawa ,walitegemea mtelemko ila kwa hali ilivyo sasa kila siku wanatafuta vijisababu na hakika mwisho wako unakaribia,hakuna mabadiliko wala changes zinaweza kupatikana ndani ya chadema
 
wanajua kuwa hawana nafasi na waliojiita wana ukombozi ndiyo wezi wakubwa waliotuibia na wanaotuibia hivi vipi kuhusu mabilioni ya hongkong ya kuhamisha familia yake nje ya nchi,ni aibu na kwa hakika hastahili kuitwa wana mabadiliko.Acha CCM wawaonyeshe na kuwafundisha siasa
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom