Mimi sijui hebu wewe unayejua Magufuli atauokota wapi huo urais utujuze.laiti ungejua ishu iliyosukwa hapo.......
ila magufuli anaschukua nchi
Mimi sijui hebu wewe unayejua Magufuli atauokota wapi huo urais utujuze.laiti ungejua ishu iliyosukwa hapo.......
ila magufuli anaschukua nchi
CHICAWE;Voters Have Right To Stay 200 MetresMagufuli alia mwenyewe asema amesalitiwa,na kama angejua usariti huo asingethubutu kugombea. Kikwete amtelekeza, Mkapa akimbilia Tanga na Mwinyi nae asepa Zanzibar. Siku 62 za kampeni kikwete aonekana mara 2 tu,cku ya uzinduzi na Morogoro. Mwanza tunamunyoa Magufuli.
huyo mwingine bila kusafishwa na longolongo hasafishiki yule bora wambebe kwenye mbeleko afike salamaHivi Magufuli anahitaji msaada wa kunadiwa...
Jamaa anatiririka hadi unashindwa ku notice ametumia zaidi ya saa...
Kumsikiliza ni full burudani....HAPA KAZI TU
Yes, kumbukumbu zangu zinaonyesha matukio mengi makubwa yametokea akiwa nje ya nchi hata ya bungeni.Huyu mkulu akisafirigi ujue kuna kitu kitanuka hapa tz,tumuombe mungu ampe lowassa afya na maisha marefu aweze kututumikia tu
laiti ungejua ishu iliyosukwa hapo.......
ila magufuli anaschukua nchi
Magufuli ni chaguo la Mungu,hana mpinzani
Chaguo la Mungu akawe padri!