Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

Namuonea sana Magufuli katika kampeni zake, naona anatumia nguvu nyingi sana tofauti na Lowassa lakini watu hawamuelewi hata kidogo, ungewauliza wenzako waliopita wamewafanyia nini watanzania mpaka wanachukiwa kiasi hiki nadhani wangekwambia, lakini hata wewe mwenyewe ni shahidi juu ya haya, siku za mwanzo kwenye kampeni zako ulikuwa unasema "nashangaa hospitali hazina dawa ila maduka binafsi yanauza dawa"

usijisumbue sana kupiga kelele majukwaani, nadhani ccm wenzako wanaelewa nani anaenda kuwa raisi wa tano wa Tanzania.

youngsharo
 
Last edited by a moderator:

jionee huruma wewe mwenyewe maan ahuyo atashinda tu
 
wewe mtu analalamika mwanzo mwisho tuhuma tu kwa mwenyekiti wake na watendaji wa serikali yake hawezi kuwa raisi kamwe mbabe tu kwa kwenda mbele
 
Boti hiyooooo inazama tatizo ni zigo Nape
12122469_475031489366371_7854752334496618938_n.jpg
 
Lowassa ni mpango wa mungu,yani siku zinavyyoyoma ndo yanakua sio mapenzi tena bali ni mahaba,waliomsema mgonjwa tunafukia sasa sijui itakuaje kwa watakao chakachua kura zake!
 
12096554_914296295273779_3845352277431363330_n.jpg

12074691_914296318607110_4864820313159915916_n.jpg

Mh. John Pombe Magufuli akiwa Pemba katika kampeni za Urais. Hii ni ishara tosha kuwa Magufuli ni kipenzi cha watu na ushindi wake utakuwa Mzito.

Mpigie kura yako ya ndio Mh. John Magufuli
 
Kama siyo maigizo ni nini? Tusubiri hiyo tarehe 25 October masanduku ya kura yatasema
 
Back
Top Bottom