Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

12112002_904830236275797_7470219973308913053_n.jpg

Mimi mwenyewe nakunywa viroba mbaya ninejiandikisha na kura yangu kwa lowasa. Sisi wanywa gongo ndio tutamchinjia baharini magufuli believe that!!
 
Sasa Wewe unayejidai ni Ccm kisa umetuma na February Umeisha Maana wenye Fisiemwenyewe wamenyamaza maana wanaona hali ni Mbaya wanamtamani LOWASA
 
Jifarijini tu na fiesta makatibu ccm wamesema wamechoka kujifanya watu na hela inayotoka ni kidogo ha ha haaaa
 
Back
Top Bottom