Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Mbona anakibri sana!kwani ninani aswa? Mwenye kuijua historia yake pls,kwani uwenda anamatatizo ya akili pasi na yeye kujijua.

Sijawai kumuona binadamu alijawa na chuki kama alivyo yeye. Pia aendani na nafasi ya uma aliyonayo. Pls mwenyekumjua,tunaomba atusaidie na sisi tumjue zaidi Ole Sabaya .
 
Nasikia ni afisa kipenyo tu kama bashite na katambi,ila huyu ana historia ya kutumia kigamba chake kuporea bia na wali kuku kwa mama ntilie
 
Ni mmoja kati ya kundi la wale UVCCM maandazi wanaojifanya eti nao ni usalama wa Taifa. Analindwa na mwenyekiti kwa sababu ya huo upuuzi wake, na huku akiaminiwa ndiye kiboko wa Mbowe huko Hai!

Ni dogo fulani mjinga mjinga hivi na asiyejitambua, aliyewahi kukamatwa na kitambulisho feki cha usalama wa Taifa baada ya kukaa kwenye hotel moja ya watu huko Arusha huku akila bata la kutosha, na baadae kugoma kulipa bill!
 
Ni jingalao fulan hiv,babake alishafanya mauaji ya kutisha uko serengeti,akiwa DC,tume ya Jaji Kisanga ikasema atupwe segerea,ila mbogamboga zikambeba,ni kijana alie lewa sifa,yakuwa ye ndo kiboko ya Mbowe,hajifunz kwa Bashite,Mbowe nae awe mwiba kama lisu,akiendelea kucheka na huyu atavuna mabua
 
Leo naomba tuchangie kupata matamanio yetu ni Sera au ahadi gani tungependa kusikia toka kwa wagombea urais 2020. Mi binafsi ningependa sikia toka kwa mwenyekiti wa CCM Ndg John Magufuli anazungumzia kuhusu fao la kujitoa katika mifuko ya jamii na ujumla wa sheria hii ya fao LA kujitoa.
Nawakilisha karibu kwa kuchangia
 
Ni kama kuvunja rekodi kwa aina yake mwaka huu kitu ambacho si kizuri kwa ACT Wazalendo kwani Kigoma ni kama miguu ya ACT Wazalendo hivyo ukikata ngwala Kigoma maana ni kama CCM imeua mtu au kubaka kabisa. Kuna kila haja ya Zitto kuliangalia hili anguko kwa umakini na kuchukua hatua za maksudi kuepuka janga hilo.

Kinachokwenda kutokea ni kuwa Tanzania Bara hakutakuwa na ACT Wazalendo ila Zanzibar itakuwepo, hili ndilo linaloonekana kwa sasa.
 
Ni kama kuvunja rekodi kwa aina yake mwaka huu kitu ambacho si kizuri kwa ACT kwani Kigoma nikama miguu ya ACT ,hivyo ukikata ngwala Kigoma maana ni kama CCM imeua mtu au kubaka kabisa. Kuna kila haja ya Zito kuliangalia hili anguko kwa umakini na kuchukua hatua za maksudi kuepuka janga hilo.
Kinachokwenda kutokea ni kuwa Tanzania Bara hakutakuwa na ACT ila Zanziba itakuwepo hili ndilo linaloonekana kwa sasa.
Ule ni ujumbe kuwa wana Kigoma wanataka maendeleo na siasa za kijinga za kupinga kila jambo, kususia, kudanganya, kuchochea na nk.
 
Ni kama kuvunja rekodi kwa aina yake mwaka huu kitu ambacho si kizuri kwa ACT kwani Kigoma ni kama miguu ya ACT hivyo ukikata ngwala Kigoma maana ni kama CCM imeua mtu au kubaka kabisa. Kuna kila haja ya Zitto kuliangalia hili anguko kwa umakini na kuchukua hatua za maksudi kuepuka janga hilo.

Kinachokwenda kutokea ni kuwa Tanzania Bara hakutakuwa na ACT ila Zanzibar itakuwepo, hili ndilo linaloonekana kwa sasa.
Mkoa ulikua haujaunganishwa na Barabara, Grid ya taifa leo vinafanyika wapinzani wanasema havina maana, kwa nini wasikataliwe!
 
Kwabahati mbaya unaongea habari za kigoma ila unaonekana si mwanakigoma, nakama ndio basi umeongea kimahaba zaidi.

Kigoma washenzi sana kila atakaeenda atajaza watu kwasababu walewale wanaokuja kwenye mkutano wa JPM ndio watakaokuja kwa LISU. Huwa wanapenda sana kumsikiliza mtu anasemaje hata kama hawampendi ili badae wakabishane vijiweni.

Nakukumbusha 2015 kawawa ilijaa hadi wengne wakapanda juu ya ukuta ila mwisho wa siku ubunge na madiwani wakampa Act.

Pili Kigoma kampeni za ndani (Nyumba kwa nyumba) ndo huwa zina mpa maamuzi mpiga kura. Hawategemei sana kampeni za majukwaa wao wanaenda kwenye mkutano ila washajua kula wanapiga wapi. 2005 kilitokea hichi kwa Kaburu baada yakujaza watu kwenye mikutano afu akapigwa chini.

Tatu Kigoma kula za Uraisi ni za Magufuri kwasababu kule Chadema ilipoteza Nguvu baada yakumtoa ZITTO. Ukizingatia wanajua kabisa membe hawezi kupita.

4: Kigoma hasa pale mjini udini na ukanda huwa unamuamulia mpiga kura wapi apeleke kura yake.

5: ZITTO anajua sana jinsi yakucheza na akili zao. Mana huwa anayoahidi 75% yanafanyika ko haijalishi nani kafanya ila wanajua yeye kafanya mana huwa anakua wakwanza kusemea.

Ko kung'oa ZITO kigoma sio kazi rahisi kama unavyofikiria labda irumike nguvu ya Ziada ya gori la mkono.
 
Tofauti na mikutano ya vyama vingine ,katika CCM ukiona waliovalia sare za CCM kwenye mikutano yao ujue ndio wapiga kura wao tena si wote wengine watapigia chama kingine japo wamevaa sare hao ni wale magoigoi,na wasio vaa sare za CCM hesabu hizo ni kura kamili za upinzani na zaidi kwa sasa ni kwa mgombea urais wa Chadema,wala hazina shaka wapo hapo kufuata fujo tu,si unatujua watanzania kwa kupenda fujo na vile kuna waanii ndio kabsaa waongeza vichwa hawakosi,usibabaike..
 
Back
Top Bottom