Ccm ingekuwa inajua wapiga kura wanataka nini ingeitumia nec kushinda uchaguzi? Huko zanzibar mara zote ccm inapigwa chini zinatumika busara na ubabe ccm kuendelea kubaki madarakani kama kweli ccm inajua wapiga kura wanataka nini ishinde znz kihalaliJpm atashinda kwa kura nyingi sio kwa sababu ni mgombea mzuri au ana sera nzuri bali udhaifu wa wapinzani ambao hawajui wapiga kura wao wanataka nini