Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

119057614_197973511683765_7178176507246786920_n.jpg
 
Ndugu mimi kama kawaida natumia platform kama hii nikiamini kipenzi changu mh ataona

Mh nilikuwepo leo pale Gymkana mjini Bukoba na nilishangaa kuona maaskari wakiwakamata sijui waliozomea kuwa hawakutaki baada ya ww kuwauliza kama wanakutaka. Sasa mh hili jambo la hasira ulipunguze tubaki kunadi sera zetu maana hata Yesu kunawaliompinga na pia hili jambo limeleta hasira kwa baadhi ya wana Bukoba mpaka kwa baadhi ya wana CCM wenzetu huku tukizokewa baada ya ww kuondoka hapa. Sasa sisi watafuta kura tutapata wakati mgumu kuwafikia hawa wapga kura maana walishaanza kutengeneza na kuamini maneno atupashayo huyu kilema wa mguu Lissu. Rekebisha sana hasira mh
Ajitoe tu hana uwezo kiukweli
 
Kaongo kakubwa wewe!
Lakini unajiuliza, Baada ya uwongo huu, unapata nini bwashee!!?

Mmh, Chadema ikose video ya zomea hiyo kweli? Labda siyo Chadema
 
NGUVU YA JPM KUELEKEA KUCHUKUA DOLA 28/10/2020

Na Elius Ndabila
0768239284

JPM ambaye ni Rais wa JMT ndiye anatetea nafasi yake ya Urais kunako mwezi Oktoba. JPM ambaye amevunja rekodi ya Uongozi wake kwa bara la Afrika ana nguvu kubwa kuelekea Uchaguzi huu ikilinganishwa na kipindi kilichopita.

Wakati Wagombea wa vyama vingine wakitumia nguvu kubwa kuwahadaa na kuwalaghai Watanzani ili waweze kuchagulia, basi Mh JPM yeye anawaambia Watanzania kazi alizofanya kwa miaka mitano na kazi zingine anazotarajia kufanya kwa kipindi kingine cha miaka mitano.

Leo nijaribu kukupitisha tu kwenye mambo machache ambayo yatamrudisha JPM kwa kishindo mwezi OCTOBER 28.

SEKTA YA ELIMU, kwa miaka mitano ya JPM ameboresha kwa kiasi kikubwa sekta hii mhimu ya elimu. Kwanza amefanya elimu bure kutoka awali hadi kidato cha nne. Mtakumbuka miaka iliyopita watoto wengi wamekosa as shule kwa kuwa tu hawakuweza kulipa ada ya shule. Lakini baada ya JPM kuingia alifuta ada na kuwafanya watanzania wanyonge kusoma bure. Hakuishia kusomesha bure, lakini pia ameboresha na kuhuisha upya shule kwa kuzijenga vizuri na kununua samani. Upande wa Elimu ya juu ameongeza bajeti ya mikopo mara dufu na wanufaika kuongezeka. JPM alitambua fika ili kuondoa ijinga na umaskini basi silaha ya kwanza ni Elimu, na kwa kigezo hicho akaweka elimu bure.

AFYA, JPM alitambua kuwa mtu ni afya. Ili taifa liweze kuendelea kwa kasi linahitaji watu wenye afya bora. Ili kuweza kuimarisha afya Mh Rais aliamua kwa nguvu zote kujenga hospitali mpya na kuboresha za zamani, aliamua kusimamia ujenzi wa zahanati kwenye kila kijiji ambapo kwa kiasi kikubwa amefanikiwa, aliamua kutenga fedha za kujenga na kuboresha vituo vya afya, Hospitali za Rufaa, Hospitali za Kanda na Mikoa. Mh Rais JPM na serikali yake walienda mbali kwa kuongeza bajeti ya Afya kutoka bilion 36 hadi bilioni 260+, hii haijawahi kutokea.

MIUNDOMBINU, Kwenye sekta Watanzania ni mashuhuda kuwa kwa miaka hii mitano vumbi linatimuka kila mahali barabara zikiwa zinachorongwa. JPM kwa miaka mitano walau kila Wilaya ukipita unakutana na ujenzi wa barabara. JPM ameboresha, amepanua na kujenga viwanja vipya vya ndege ili kupanua sekta ya usafiri wa anga baada ya kununua ndege 11 kwa fedha za ndani bila mkopo. Kwenye miundombinu mbinu pamoja na kuboresha usafiri wa nchi kavu na angani, bado ameboresha usafiri wa majini kwa kununua na kukarabati meli. Rais JPM ndiye shujaa ambaye sasa anajenga treni ya umeme kutoka Dar hadi Mwanza. Treni si tu itasaidia kukuza uchumi bali itaongeza kasi ya kulinda barabara zetu kwa kuwa magari makubwa yalikuwa chanzo cha kuharibu barabara yatapungua. JPM ndiye amejaribu kupunguza foleni ya Dar baada ya ujenzi barabara za juu hasa Mfugale na Ubungo interchange.

NIDHAMU KAZINI, Hivi huko kwenu wale ambao ulikuwa ukifika ofisini unakuta wapo busy kuchart bado wapo? Wale ambao ulikuwa ukifika ofisini wanakwambia toa fedha tukuhudumie bado wapo? Wale ambao walikuwa hawakai ofisini wanashinda kudhurura bado wapo? Na wale waliokuwa wakibadilishia nguo airport bado wapo? Madawa ya kulevya je bado yapo? Vipi na wale ambao kila wiki Tulikuwa tukiambiwa majambazi yamevamia benki bado wapo? Vipi umeme wa mgao bado upo? Vipi bwa la MTELA limekauka tena maji na kukosa Umeme? Haya yote JPM ameyashughulikia kwa vitendo. Na haya yatamrudisha Ikulu kwa nguvu kubwa.

HUDUMA YA MAJI kwa miaka mitano serikali ya CCM chini ya JPM imeongeza bajeti katika wizara ya Maji na kuhakikisha wananchi wanafikiwa na huduma hii. Maeneo mengine nchini sasa maji yanapatikana na maeneo mengine juhudi zinafanyika kufikisha huduma hii mhimu. Na mategemeo makubwa ni kuwa mradi wa Uzalishaji wa Umeme wa Nyerere utakapokamilika si tu umeme utashuka bei, bali hata bei ya maji itapungua zaidi kwa kuwa nishati itakayotumika kuzalisha maji itakuwa chini.

MAKUSANYO, Serikali yoyote duniani huendeshwa kwa kodi. Ninawashangaa CHADEMA kwenye Ilani yao wanasema watafuta kodi, ila watawekeza migodi ya madini kwa matajiri wa nje ili wawape fedha za kuendesha serikali. Huu ni ujuha! Nyerere alishatukomboa kwenye minyororo ya ukoloni, lakini CDM wanataka turudi huko. Hakuna Taifa ambalo wananchi hawalipi kodi. Serikali ya JPM imeongeza makusanyo kutoka bilioni 800 kwa mwezi hadi 2.8 Trilioni kwa mwezi. JPM amejitahidi kwa kiasi kikubwa kuziba mianya ya rushwa na ukwepaji kodi. Kwa usimamizi wake Mahili na malidadi leo Tanzania ni miongoni mwa nchi chache Afrika zikizoingia kwenye uchumi wa kati. Nani kama JPM?

Dunia inamhitaji JPM, na Afrika inahitaji JPM watatu tu ili Afrika ianze kujitegemea. Wakati vyama vingine vya upinzani vikijinasibu kuwa wao watatumia mabeberu kuendesha nchi, JPM anapambana kuwa miaka michache ijayo Tanzania tujitegemee kwa kila kitu na Tanzania iwe nchi ya kutoa misaada kwa wahitaji. JPM kwa kuanza, kwa mara ya kwanza Tangu tupate Uhuru leo tunafanya uchaguzi ambao kwa asilimia mia moja ni fedha zetu za ndani. Hatuja kopa kwa mtu yeyote!

Haya ni mambo machache ambayo yatamrudisha JPM kwa nguvu kubwa Ikulu. Watanzania wanasubiria kwa hamu kubwa ili kuonyesha nguvu ya kura za vioja na kura za HOJA. Watanzania wanasubiria wampatie JPM na CCM zadi yake tr 28.

Niwaombe Watanzania wenzangu Tumpatie kura za kutosha JPM ili kumpa nguvu mpya kwani ni mzalendo, mchapa kazi, muungwana, mtu Mahili kwenye kusimamia maendeleo na ambaye amethibitishia Dunia kuwa kwake Utanzania ndio fahari yake. Tumpatie pia Wabunge na Madiwani wa CCM ili kwa pamoja wakashiriane kuchapa kazi na kuleta mapinduzi makubwa ya kimaendeleo.
 
1.Watumishi piga chini JPM
2.Wahitimu piga chini JPM
3.Wakulima piga chini JPM
4.Vijana kwa ujumla piga chini JPM

Kura hizo za makundi hayo zinatosha kumpa ushindi Lissu!
 
Jpm atashinda kwa kura nyingi sio kwa sababu ni mgombea mzuri au ana sera nzuri bali udhaifu wa wapinzani ambao hawajui wapiga kura wao wanataka nini
 
Kilichowazi na ccm wanajua ni kwamba kwanza hawakushinda Zanzibar wala bara 2015 ndio maana ya rais kutangaza vita dhidi ya upinzani alipoingia tu madarakani. Chaguzi za madiwani na wabunge walionunua wote mnakumbuka ilikuwaje. Watz wanajua nn kilitokea December mwaka jana uchaguzi serikali za mitaa.....
Kimsingi na ccm wanajua hakuna
1. Wakulima
2. Wafanyakazi
3. Wafanyabiashara
4. Wanafunzi
Wakuichagua ccm na ndio chanzo cha haya yote kulazimisha kubaki madarakani kwa nguvu ya tume km alivoahidi rais lkn pia kwa nguvu ya dola km alivyosema Bashiru
 
NGUVU YA JPM KUELEKEA KUCHUKUA DOLA 28/10/2020.

Na Elius Ndabila
0768239284

JPM ambaye ni Rais wa JMT ndiye anatetea nafasi yake ya Urais kunako mwezi Oktoba. JPM ambaye amevunja rekodi ya Uongozi wake kwa bara la Afrika ana nguvu kubwa kuelekea Uchaguzi huu ikilinganishwa na kipindi kilichopita.

Wakati Wagombea wa vyama vingine wakitumia nguvu kubwa kuwahadaa na kuwalaghai Watanzani ili waweze kuchagulia, basi Mh JPM yeye anawaambia Watanzania kazi alizofanya kwa miaka mitano na kazi zingine anazotarajia kufanya kwa kipindi kingine cha miaka mitano.

Leo nijaribu kukupitisha tu kwenye mambo machache ambayo yatamrudisha JPM kwa kishindo mwezi OCTOBER 28.

SEKTA YA ELIMU, kwa miaka mitano ya JPM ameboresha kwa kiasi kikubwa sekta hii mhimu ya elimu. Kwanza amefanya elimu bure kutoka awali hadi kidato cha nne. Mtakumbuka miaka iliyopita watoto wengi wamekosa as shule kwa kuwa tu hawakuweza kulipa ada ya shule. Lakini baada ya JPM kuingia alifuta ada na kuwafanya watanzania wanyonge kusoma bure. Hakuishia kusomesha bure, lakini pia ameboresha na kuhuisha upya shule kwa kuzijenga vizuri na kununua samani. Upande wa Elimu ya juu ameongeza bajeti ya mikopo mara dufu na wanufaika kuongezeka. JPM alitambua fika ili kuondoa ijinga na umaskini basi silaha ya kwanza ni Elimu, na kwa kigezo hicho akaweka elimu bure.

AFYA, JPM alitambua kuwa mtu ni afya. Ili taifa liweze kuendelea kwa kasi linahitaji watu wenye afya bora. Ili kuweza kuimarisha afya Mh Rais aliamua kwa nguvu zote kujenga hospitali mpya na kuboresha za zamani, aliamua kusimamia ujenzi wa zahanati kwenye kila kijiji ambapo kwa kiasi kikubwa amefanikiwa, aliamua kutenga fedha za kujenga na kuboresha vituo vya afya, Hospitali za Rufaa, Hospitali za Kanda na Mikoa. Mh Rais JPM na serikali yake walienda mbali kwa kuongeza bajeti ya Afya kutoka bilion 36 hadi bilioni 260+, hii haijawahi kutokea.

MIUNDOMBINU, Kwenye sekta Watanzania ni mashuhuda kuwa kwa miaka hii mitano vumbi linatimuka kila mahali barabara zikiwa zinachorongwa. JPM kwa miaka mitano walau kila Wilaya ukipita unakutana na ujenzi wa barabara. JPM ameboresha, amepanua na kujenga viwanja vipya vya ndege ili kupanua sekta ya usafiri wa anga baada ya kununua ndege 11 kwa fedha za ndani bila mkopo. Kwenye miundombinu mbinu pamoja na kuboresha usafiri wa nchi kavu na angani, bado ameboresha usafiri wa majini kwa kununua na kukarabati meli. Rais JPM ndiye shujaa ambaye sasa anajenga treni ya umeme kutoka Dar hadi Mwanza. Treni si tu itasaidia kukuza uchumi bali itaongeza kasi ya kulinda barabara zetu kwa kuwa magari makubwa yalikuwa chanzo cha kuharibu barabara yatapungua. JPM ndiye amejaribu kupunguza foleni ya Dar baada ya ujenzi barabara za juu hasa Mfugale na Ubungo interchange.

NIDHAMU KAZINI, Hivi huko kwenu wale ambao ulikuwa ukifika ofisini unakuta wapo busy kuchart bado wapo? Wale ambao ulikuwa ukifika ofisini wanakwambia toa fedha tukuhudumie bado wapo? Wale ambao walikuwa hawakai ofisini wanashinda kudhurura bado wapo? Na wale waliokuwa wakibadilishia nguo airport bado wapo? Madawa ya kulevya je bado yapo? Vipi na wale ambao kila wiki Tulikuwa tukiambiwa majambazi yamevamia benki bado wapo? Vipi umeme wa mgao bado upo? Vipi bwa la MTELA limekauka tena maji na kukosa Umeme? Haya yote JPM ameyashughulikia kwa vitendo. Na haya yatamrudisha Ikulu kwa nguvu kubwa.

HUDUMA YA MAJI kwa miaka mitano serikali ya CCM chini ya JPM imeongeza bajeti katika wizara ya Maji na kuhakikisha wananchi wanafikiwa na huduma hii. Maeneo mengine nchini sasa maji yanapatikana na maeneo mengine juhudi zinafanyika kufikisha huduma hii mhimu. Na mategemeo makubwa ni kuwa mradi wa Uzalishaji wa Umeme wa Nyerere utakapokamilika si tu umeme utashuka bei, bali hata bei ya maji itapungua zaidi kwa kuwa nishati itakayotumika kuzalisha maji itakuwa chini.

MAKUSANYO, Serikali yoyote duniani huendeshwa kwa kodi. Ninawashangaa CHADEMA kwenye Ilani yao wanasema watafuta kodi, ila watawekeza migodi ya madini kwa matajiri wa nje ili wawape fedha za kuendesha serikali. Huu ni ujuha! Nyerere alishatukomboa kwenye minyororo ya ukoloni, lakini CDM wanataka turudi huko. Hakuna Taifa ambalo wananchi hawalipi kodi. Serikali ya JPM imeongeza makusanyo kutoka bilioni 800 kwa mwezi hadi 2.8 Trilioni kwa mwezi. JPM amejitahidi kwa kiasi kikubwa kuziba mianya ya rushwa na ukwepaji kodi. Kwa usimamizi wake Mahili na malidadi leo Tanzania ni miongoni mwa nchi chache Afrika zikizoingia kwenye uchumi wa kati. Nani kama JPM?

Dunia inamhitaji JPM, na Afrika inahitaji JPM watatu tu ili Afrika ianze kujitegemea. Wakati vyama vingine vya upinzani vikijinasibu kuwa wao watatumia mabeberu kuendesha nchi, JPM anapambana kuwa miaka michache ijayo Tanzania tujitegemee kwa kila kitu na Tanzania iwe nchi ya kutoa misaada kwa wahitaji. JPM kwa kuanza, kwa mara ya kwanza Tangu tupate Uhuru leo tunafanya uchaguzi ambao kwa asilimia mia moja ni fedha zetu za ndani. Hatuja kopa kwa mtu yeyote!

Haya ni mambo machache ambayo yatamrudisha JPM kwa nguvu kubwa Ikulu. Watanzania wanasubiria kwa hamu kubwa ili kuonyesha nguvu ya kura za vioja na kura za HOJA. Watanzania wanasubiria wampatie JPM na CCM zadi yake tr 28.

Niwaombe Watanzania wenzangu Tumpatie kura za kutosha JPM ili kumpa nguvu mpya kwani ni mzalendo, mchapa kazi, muungwana, mtu Mahili kwenye kusimamia maendeleo na ambaye amethibitishia Dunia kuwa kwake Utanzania ndio fahari yake. Tumpatie pia Wabunge na Madiwani wa CCM ili kwa pamoja wakashiriane kuchapa kazi na kuleta mapinduzi makubwa ya kimaendeleo.
Kwa kashfa kama hizi hapa chini sidhani kama atashinda:

Steven Makigo ni Swahiba wa Rais John Pombe Magufuli... hawakukutana barabarani!! Hawa wamesoma pamoja Lake Secondary School.

Akiwa kama waziri wa ujenzi, mwaka 2012 JPM alimteua Steven Makigo kuwa Mjumbe wa TEMESA. TEMESA hii ni ile ile ambayo ilinunua boti kwa mabilioni ya pesa huku boti yenyewe ikiwa na speed sawa na mtumbwi!!

Ni boti ile ile ambayo, ili kuwakata watu midomo wasiijadili, JPM yule yule akaipeleka boti hiyo jeshini! Yaani, Jeshi linapewa boti yenyewe mwendo wa kinyonga!!!

REMEMBER: Zabuni ya ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Chato iliweka sharti kwamba Contractor LAZIMA awe ni wa Kanda ya Ziwa!!

Yaani "National Project" inaweka condition ya ku-eliminate Watanzania wengine!!!!

Tena hapa tukumbushane kwamba, hiyo ni aina moja wapo ya Grand Corruption! YES, I mean it... a type of the GRAND CORRUPTION ambayo kwa makusudi watu wanaweka baseless conditions only to eliminate other competitors in favor of their guy!!!

SO, Kuna atakayeshangaa tukisema Mradi wa ujenzi wa Chato International Airport uliletwa maalumu ili tenda apewe Mayanga Construction Ltd, and ONLY Mayanga?!

Halafu ngoja, nimekumbuka!!

Hivi mnakumbuka JPM enzi zake akiwa Waziri wa Ujenzi akaja na "Wakandarasi Wazalendo"?!

Hoja tamu kweli kweli ambayo mtu ukiitia doa utaonekana unapingana na mtu anayekusudia kuwainua Wakandarasi Wazalendo lakini ukweli ni kwamba hiyo ilikuwa ni janja janja nyingine ya kui-favor Mayanga Construction!!

Wakati Wizara ya Ujenzi chini ya Magu ilipokuwa na mpango wa kujenga Daraja la Mbutu, Magu alijua kabisa Mayanga hatakuwa na ubavu wa kushindana na kampuni za kigeni na ndipo likaja suala la Wakandarasi Wazalendo, na Mayanga Construction akala shavu akiwa na "wazalendo" wengine!!
 
NGUVU YA JPM KUELEKEA KUCHUKUA DOLA 28/10/2020.

Na Elius Ndabila
0768239284

JPM ambaye ni Rais wa JMT ndiye anatetea nafasi yake ya Urais kunako mwezi Oktoba. JPM ambaye amevunja rekodi ya Uongozi wake kwa bara la Afrika ana nguvu kubwa kuelekea Uchaguzi huu ikilinganishwa na kipindi kilichopita.

Wakati Wagombea wa vyama vingine wakitumia nguvu kubwa kuwahadaa na kuwalaghai Watanzani ili waweze kuchagulia, basi Mh JPM yeye anawaambia Watanzania kazi alizofanya kwa miaka mitano na kazi zingine anazotarajia kufanya kwa kipindi kingine cha miaka mitano.

Leo nijaribu kukupitisha tu kwenye mambo machache ambayo yatamrudisha JPM kwa kishindo mwezi OCTOBER 28.

SEKTA YA ELIMU, kwa miaka mitano ya JPM ameboresha kwa kiasi kikubwa sekta hii mhimu ya elimu. Kwanza amefanya elimu bure kutoka awali hadi kidato cha nne. Mtakumbuka miaka iliyopita watoto wengi wamekosa as shule kwa kuwa tu hawakuweza kulipa ada ya shule. Lakini baada ya JPM kuingia alifuta ada na kuwafanya watanzania wanyonge kusoma bure. Hakuishia kusomesha bure, lakini pia ameboresha na kuhuisha upya shule kwa kuzijenga vizuri na kununua samani. Upande wa Elimu ya juu ameongeza bajeti ya mikopo mara dufu na wanufaika kuongezeka. JPM alitambua fika ili kuondoa ijinga na umaskini basi silaha ya kwanza ni Elimu, na kwa kigezo hicho akaweka elimu bure.

AFYA, JPM alitambua kuwa mtu ni afya. Ili taifa liweze kuendelea kwa kasi linahitaji watu wenye afya bora. Ili kuweza kuimarisha afya Mh Rais aliamua kwa nguvu zote kujenga hospitali mpya na kuboresha za zamani, aliamua kusimamia ujenzi wa zahanati kwenye kila kijiji ambapo kwa kiasi kikubwa amefanikiwa, aliamua kutenga fedha za kujenga na kuboresha vituo vya afya, Hospitali za Rufaa, Hospitali za Kanda na Mikoa. Mh Rais JPM na serikali yake walienda mbali kwa kuongeza bajeti ya Afya kutoka bilion 36 hadi bilioni 260+, hii haijawahi kutokea.

MIUNDOMBINU, Kwenye sekta Watanzania ni mashuhuda kuwa kwa miaka hii mitano vumbi linatimuka kila mahali barabara zikiwa zinachorongwa. JPM kwa miaka mitano walau kila Wilaya ukipita unakutana na ujenzi wa barabara. JPM ameboresha, amepanua na kujenga viwanja vipya vya ndege ili kupanua sekta ya usafiri wa anga baada ya kununua ndege 11 kwa fedha za ndani bila mkopo. Kwenye miundombinu mbinu pamoja na kuboresha usafiri wa nchi kavu na angani, bado ameboresha usafiri wa majini kwa kununua na kukarabati meli. Rais JPM ndiye shujaa ambaye sasa anajenga treni ya umeme kutoka Dar hadi Mwanza. Treni si tu itasaidia kukuza uchumi bali itaongeza kasi ya kulinda barabara zetu kwa kuwa magari makubwa yalikuwa chanzo cha kuharibu barabara yatapungua. JPM ndiye amejaribu kupunguza foleni ya Dar baada ya ujenzi barabara za juu hasa Mfugale na Ubungo interchange.

NIDHAMU KAZINI, Hivi huko kwenu wale ambao ulikuwa ukifika ofisini unakuta wapo busy kuchart bado wapo? Wale ambao ulikuwa ukifika ofisini wanakwambia toa fedha tukuhudumie bado wapo? Wale ambao walikuwa hawakai ofisini wanashinda kudhurura bado wapo? Na wale waliokuwa wakibadilishia nguo airport bado wapo? Madawa ya kulevya je bado yapo? Vipi na wale ambao kila wiki Tulikuwa tukiambiwa majambazi yamevamia benki bado wapo? Vipi umeme wa mgao bado upo? Vipi bwa la MTELA limekauka tena maji na kukosa Umeme? Haya yote JPM ameyashughulikia kwa vitendo. Na haya yatamrudisha Ikulu kwa nguvu kubwa.

HUDUMA YA MAJI kwa miaka mitano serikali ya CCM chini ya JPM imeongeza bajeti katika wizara ya Maji na kuhakikisha wananchi wanafikiwa na huduma hii. Maeneo mengine nchini sasa maji yanapatikana na maeneo mengine juhudi zinafanyika kufikisha huduma hii mhimu. Na mategemeo makubwa ni kuwa mradi wa Uzalishaji wa Umeme wa Nyerere utakapokamilika si tu umeme utashuka bei, bali hata bei ya maji itapungua zaidi kwa kuwa nishati itakayotumika kuzalisha maji itakuwa chini.

MAKUSANYO, Serikali yoyote duniani huendeshwa kwa kodi. Ninawashangaa CHADEMA kwenye Ilani yao wanasema watafuta kodi, ila watawekeza migodi ya madini kwa matajiri wa nje ili wawape fedha za kuendesha serikali. Huu ni ujuha! Nyerere alishatukomboa kwenye minyororo ya ukoloni, lakini CDM wanataka turudi huko. Hakuna Taifa ambalo wananchi hawalipi kodi. Serikali ya JPM imeongeza makusanyo kutoka bilioni 800 kwa mwezi hadi 2.8 Trilioni kwa mwezi. JPM amejitahidi kwa kiasi kikubwa kuziba mianya ya rushwa na ukwepaji kodi. Kwa usimamizi wake Mahili na malidadi leo Tanzania ni miongoni mwa nchi chache Afrika zikizoingia kwenye uchumi wa kati. Nani kama JPM?

Dunia inamhitaji JPM, na Afrika inahitaji JPM watatu tu ili Afrika ianze kujitegemea. Wakati vyama vingine vya upinzani vikijinasibu kuwa wao watatumia mabeberu kuendesha nchi, JPM anapambana kuwa miaka michache ijayo Tanzania tujitegemee kwa kila kitu na Tanzania iwe nchi ya kutoa misaada kwa wahitaji. JPM kwa kuanza, kwa mara ya kwanza Tangu tupate Uhuru leo tunafanya uchaguzi ambao kwa asilimia mia moja ni fedha zetu za ndani. Hatuja kopa kwa mtu yeyote!

Haya ni mambo machache ambayo yatamrudisha JPM kwa nguvu kubwa Ikulu. Watanzania wanasubiria kwa hamu kubwa ili kuonyesha nguvu ya kura za vioja na kura za HOJA. Watanzania wanasubiria wampatie JPM na CCM zadi yake tr 28.

Niwaombe Watanzania wenzangu Tumpatie kura za kutosha JPM ili kumpa nguvu mpya kwani ni mzalendo, mchapa kazi, muungwana, mtu Mahili kwenye kusimamia maendeleo na ambaye amethibitishia Dunia kuwa kwake Utanzania ndio fahari yake. Tumpatie pia Wabunge na Madiwani wa CCM ili kwa pamoja wakashiriane kuchapa kazi na kuleta mapinduzi makubwa ya kimaendeleo.
Ndoto zinaruhusiwa
 
Back
Top Bottom