.
Screenshot_2021-11-20-22-00-25-18.jpg

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Weka wazi maana nilianza kujilipua lkn respobse yake ni ya kujivuuuuuta... kwamba sio yeye kaweka picha tu au
Mimi lili ni ibukia WhatsApp linadai tuna fahamiana likanitumia picha nikawa sina kumbukumbu niaendelea kuchat nalo likaomba nauli ilikua kidogo nitume nikampa jamaa yangu number zake aka chat nalo lika jaa, uongo wake lilipo jichanganya location mimi lilianiambia nyingine na jamaa yangu nyingine hapo hapo nika piga chini

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Mimi lili ni ibukia WhatsApp linadai tuna fahamiana likanitumia picha nikawa sina kumbukumbu niaendelea kuchat nalo likaomba nauli ilikua kidogo nitume nikampa jamaa yangu number zake aka chat nalo lika jaa, uongo wake lilipo jichanganya location mimi lilianiambia nyingine na jamaa yangu nyingine hapo hapo nika piga chini

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Nisukumie namba yake mzee mm hayo ndio mambo yangu kudeal na hao matapeli wa mapenzi.
 
Back
Top Bottom