Attainer Jr
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 401
- 714
Msaada wa location mkuu hahaa
Muambie anipigie, nilisahau simu yangu kipindi nipo likizo... Muambie tu ananijua vizuri.
View attachment 579832
Raisi wa nchi gani?Mke wa Rais Mrembo kuliko wote toka tupate uhuru.View attachment 1506878
Raisi wa nchi gani?
Kumbuka msimu huu Jecha hayupoJamhuri ya watu wa zanzibar
Hivi ulimuona Siti Mwinyi kabla hajazeeka?Mke wa Rais Mrembo kuliko wote toka tupate uhuru.View attachment 1506878
Mkuu unamjuwa vizuri mama yake huyo mheshimiwa hasa enzi hizo yuko na umri kama wa huyo mkwe wake?Mke wa Rais Mrembo kuliko wote toka tupate uhuru.View attachment 1506878
Uwiiiiiiiiiiiiih hapa funga kazi waleleeeeeeeeeeeeeeeeh
ooohoooUwiiiiiiiiiiiiih hapa funga kazi waleleeeeeeeeeeeeeeeeh
Mke wa Rais Mrembo kuliko wote toka tupate uhuru.View attachment 1506878