Haha
marashi_ya_qarafuu___CCFcIUsA3_Q___.jpg


Sent from my itel it1508 using JamiiForums mobile app
 
Wife wangu humu keshaoostiwa mara mbili naangalia tu movie na comments zenu. Kuna mtego nimeweka ukiingia ndani ya himaya yangu utaelewa.Wife nae nimempa za uso.
Du pole yako !!
Ila kiukweli wengi wa hawa walipostiwa humu hawaolewagi na Ni ngumu Sana kuwamiliki Kama mke , labda uwe na ukwasi wa kutosha, kikawaida hawa wanatakiwa watumike temporary tu .
Kama ni kweli umeoa mtu na amepstiwa Mara mbili kwenye Uzi huu , brother una hali ngumu ,maana naona Kuna madau Hadi milioni kadhaa kwa game la siku moja

Sent
 
Back
Top Bottom