Qwy

JF-Expert Member
Nov 23, 2018
5,187
2,000
.
IMG_20210822_194056.jpg
 

Foxhound

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
26,823
2,000
View attachment 1903489

Wakurungwa mmezisikia hizi habari? Kwamba kuanzia Oktoba mosi Only Fans inaachana kabisa na mambo ya kikubwa; na wanataka iwe platform safi kama ilivyo Instagram. Japo bado wataruhusu watu kuweka contents za kutingisha na kumeng'enyua matako lakini kabisa kabisa hawataruhusu nudity. Unaambiwa watu walikuwa wanapiga hela huko na sasa inabidi ama kutafuta platform nyingine au kuingia mabarabarani kujiuza kama walivyokuwa wanafanya zamani. Akina Lalakoi sasa wanahaha balaa.

View attachment 1903491

Wanaharakati wanapinga kwa ukali hatua hii wakidai kuwa itahatarisha maisha ya hawa machangu kwa wingi hasa wakati huu wa Korona. Wameombwa angalau wasogeze mbele kidogo mpaka mwakani kwa matumaini kwamba mpaka wakati huo Korona itakuwa imeachia kidogo.

View attachment 1903490

Porn inapigwa vita kila kona japo ndiyo inatawala matumizi ya mtandao.
Athari zake zitapelekea vitendo vya ubakaji kushamiri hata hapa tanzania, maana watu walikuwa wakiitumia mitandao kwa kuangalia video 2/3 kisha wanajiripua na kulala!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom