kama kawa mkuuTumerudi hewani🎉
Natabiri huu uzi zitatupiwa zile picha zetu pendwa za warembo na kuufidia ule uzi wa "Picha za warembo wakali duniani"
KIFUATACHO:
Moderators watautupilia mbali huu uzi sawa na ule mwingine.
wameunga na superglu mkuuHii iliopigwa kiufundi inaitwaje sasa
wameunga mkuuHii iliopigwa kiufundi inaitwaje sasa
wameunga na superglu mkuu
Kumbe wameturudisha kule kuleHii iliopigwa kiufundi inaitwaje sasa
Kumbe wameturudisha kule kule
Ila huu uzi si kama umepunguzwa na baadhi ya picha?sio mbaya lakini muhimu tumerudi
Ila huu uzi si kama umepunguzwa na baadhi ya picha?
Mbona kama ulikua una jumbe/comments nyingi zaidi ya hizi
Duh huyu ana nnya kweliWarembo wa Tanzania wazuri sana View attachment 1918969View attachment 1918970
Nilikuwa sina access na uzi huu kwa mudaIla huu uzi si kama umepunguzwa na baadhi ya picha?
Mbona kama ulikua una jumbe/comments nyingi zaidi ya hizi