mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 80,696
- 105,697
Anaonekana tu 24 hours ananunaNa ni mtata kweli umepatia,unajua kusoma saikology man
Huyo,sasa ndy akufumanie hapo utajua balaa
Lake
Ova
Anaonekana tu 24 hours ananunaNa ni mtata kweli umepatia,unajua kusoma saikology man
Halafu hata picha hujaweka. Umefeli sana yaaniKuna pisi moja insta black beauty hivi huwa inaweka video na picha zake kuanzia kichwani kuja juu "passport size Sasa juzi Kati kaleta full picture aisee daaaha daaaah daaah
Mtoto ana shepu yule duuuh
Hatari Sana
Ngoja nimtafutie bajeti ya ofa ambayo hawezi ikataa
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Huu wimbo unaitwaje mkuu?
Picha siwezi weka.mzee.hadi nifeli au nifanikiwe mission ndio niwatupie mafisiHalafu hata picha hujaweka. Umefeli sana yaani
Hata siujui mkuuHuu wimbo unaitwaje mkuu?
Mzee wa mizigo
Mambo yako haya Shimba
Hujakosea. Tukutane Kilingeni Msata July hii inshallah!Mzee wa mizigo
Amina nategemea kukifunga rasmi..kutakuwa na party na kafara la kufungaHujakosea. Tukutane Kilingeni Msata July hii inshallah!
Unakifunga lini? Halafu unahamia wapi? Au unastaafu jumla?Amina nategemea kukifunga rasmi..kutakuwa na party na kafara la kufunga
NYOTE/ WOTE Mnakaribishwa
Hahahahahahaha wasafiri muwe makiniAmina nategemea kukifunga rasmi..kutakuwa na party na kafara la kufunga
NYOTE/ WOTE Mnakaribishwa
Hayaaa, mambo yetu! 🤣
Hii miguu ni ya mama la mama bila shaka, dadeq 👌😬🧐
Duh 🙆🏾♂️🍑🥒🏃🏾 🏃🏾 🏃🏾 😂 😂 😂
Domo kama 🤪 vile 🤣
Hadi uombe vacation kazini! 🤣