Special thread: Missing someone with special memories in your life

Umejaaliwa mapenzi mengi hivyo sky jamani, miaka yote hiyo, mpotezee tu

Huyu nilie nae tukiachana kwa kifo ama vinginevyo, ndipo kwa mara ya kwanza nitakuwa na kumbukumbu nzuri kwa ex maana mapenzi yangu kwake na yake kwangu sijawahi kuyapata.. nampenda mno na anajua hilo, niko tayari kumfanyia chochote kwa uwezo wangu ili tu kumfurahisha yeye
Hongera
 
Miaka mingi sana iliyopita nikiwa kijana mdogo sana naanza mapenzi moyo haukuwa na kovu lolote.

Nilikuwa very shy, gentle and caring young man.... Nikakutana na huyu mdada. Na aibu zangu hizo sikumtongoza tulikutana kijamii tukaelewana then we became lovers unexpectedly lakini likawa penzi tamu lisiloelezeka kimaandishi.

Ni kama nilinvunjika moyo, kila mahusiano niliyoanzisha baada yake naona kama yana mapungufu sababu nilijaribu kupima. Wanaonipenda wanailaumu sina mapenzi, najitahidi sana kuitafuta furaha ya penzi lakini sijawahi ifikia furaha ile.

Rest in peace my dear ****
Unaona yana mapungufu kwa sababu unalinganisha na hilo la zamani kumbuka kila kitu kinatokea kwa sababu.
Huwezi kupata furaha kama hutajipa nafasi ya kupona, kusahau yaliyopita na kujipa nafasi ya kupenda tena..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom