Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,171
Husika na kichwa cha Habari njia pekee ya kuepuka kufeli ni kusoma kwa kujituma na sio kuingia na kibuti. Or cheating.. Itakukosti hakika.. Mimi nimepona Ila hujui nimepona Vipi.. Asante.. Natumai wapo humu watu wa jinsi hii.. Acha udanganyifu.