Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

walimu bana anaanza kukopa benki
akimaliza ana top up
akimaliza anahamia saccos
anahamia vikoba
anahamia salary advance
anahamia m power
anahamia tala
anahamia m kopa

baada ya hapo anahamia dukani kwa mangi

hapoo sasa ndo paleee anapoamua ku bet ili maisha yaendeleee
Daa Mungu saidia
 
Wadau naomba mwenye helsb guidelines book ya 2019/2020 aiweke hapa,, please, nimeitafuta mtandaoni naona kila link inagoma kufunguka
 
Hivi kwa Sisi ambao tulisomeshwa na bodi diploma kutoka form four kupata huo mkopo inawezekana kma nimeshindwa kulipia iyo asilimia 25 na nimefaulu vzr kuendelea degree
 
Hello,, habari,,, ninashida kidogo kwenye application za mkopo,,, hivi kwa mtu anayetokea diploma na anataka kuomba mkopo ili kuendeoea na degree,,, ataambatanisha Nini ikiwa cheti chake bado hakijatoka na application za mkopo zinakaribia deadline,,, naomba mnisaidie hapo
 
Q Ndgu achaa mm pia nimekwama hapo ukienda nacte matokeo bado hayajatoka kazi tupu
 
Jaman ety Kama umekusanya Yale makaratsi ya mikopo,pale EMS.lakn form zako hazipo coloured,zipo black and white picha,ni makosa??
 
Back
Top Bottom