bieberchoculate
Member
- Jan 7, 2019
- 6
- 1
Hivi kwa mwanafunzi alietoka diploma anatakiwa awe na g.p.a ya ngapi ili kupata mkopo wa kujiunga na ngazi ya degree???
Hivi kwa mwanafunzi alietoka diploma anatakiwa awe na g.p.a ya ngapi ili kupata mkopo wa kujiunga na ngazi ya degree???
Ni mkopo ndio hadi upate 3.03.0 and above
Okay sawaNi chuo na mikopo mzee
Daa Mungu saidiawalimu bana anaanza kukopa benki
akimaliza ana top up
akimaliza anahamia saccos
anahamia vikoba
anahamia salary advance
anahamia m power
anahamia tala
anahamia m kopa
baada ya hapo anahamia dukani kwa mangi
hapoo sasa ndo paleee anapoamua ku bet ili maisha yaendeleee
unalipia 25%den utaapply upya mkopo na baada ya kulipia kuna barua utapewa utaambatanisha kwenye fomu yako wakat wa kutuma...ila kwenye kuja kupata n kumuomba Mungu maana lolote laweza kutokea....
Vipi umeipata?Wadau naomba mwenye helsb guidelines book ya 2019/2020 aiweke hapa,, please, nimeitafuta mtandaoni naona kila link inagoma kufunguka
sawaa inawekwaaVipi umeipata?
Vipi umeipata?
Q Ndgu achaa mm pia nimekwama hapo ukienda nacte matokeo bado hayajatoka kazi tupuHello,, habari,,, ninashida kidogo kwenye application za mkopo,,, hivi kwa mtu anayetokea diploma na anataka kuomba mkopo ili kuendeoea na degree,,, ataambatanisha Nini ikiwa cheti chake bado hakijatoka na application za mkopo zinakaribia deadline,,, naomba mnisaidie hapo
Sio lazimaWakuu Hivi Kwenye Kuatach National ID Pale Ni Lazima??? Nawaza Kwa Sisi Ambao Bado Hatuna.
Unaweka transcript yako ya diploma,unaipata nacte wakikutumia verification number,so hizo namba Kuna sehem unaandika.Q Ndgu achaa mm pia nimekwama hapo ukienda nacte matokeo bado hayajatoka kazi tupu