Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

Jaman naomba mnisaidie ndugu zangu kwa wale walioa apply upya na ni mwaka wa pili majina yao yanatoka kam first year
 
Wanafunz walioomba mkopo mwaka Jana wkakosa na mwaka huu wakaomba tena yan wapo mwaka wa pili sasa majina yao yana jumishwa humohumo au kna njia nyngne? Nauliza wadau
 
Back
Top Bottom