Umefanikiwa kupata allocation?jamani kwa wale ambao walipata batch ya kwanza ila allocation board ilisema wasubiri, vip kunawaliopata allocation baada ya batch ya tatu kuachiwa?
Vp hyo ndo itakuwa ya mwisho au had itoke kauli?Bodi wamesema ipo next week wanaachia
Powa kiongozWanasema watatoa majina kam elfu nane ivi na ni batch ya mwisho
Tatizo ni nini mpaka allocation hazijatoka?? Wakati baadhi zilitoka????jamani kwa wale ambao walipata batch ya kwanza ila allocation board ilisema wasubiri, vip kunawaliopata allocation baada ya batch ya tatu kuachiwa?
Tutupie document PDFBatch ya 4 interplay tayar jana
ukipata kwa Pfd naomba uniambieBatch ya 5 pia nahs itkuwepo...
pdf pleaseBatch ya 4 interplay tayar jana
Hyo kjanaView attachment Batch4_2018.pdfpdf please