Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

Niliongea nao juzi kuhusu allocations wakasema tar 27 lakini hadi leo holaaa ....ivi ambao wamefanya registration wamefanyaje?
Tareh 27 ni jmosi hawawez fanya kazi hio tuckilizie trh 29 ambay ni j3 ,, registration unaruhusiw ila tu hio ela yako ujue kama itakua refunded baadae au la
 
Waliopangiwa mkopo awamu ya pili
Screenshot_20181029-082740.jpeg
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom