Tareh 27 ni jmosi hawawez fanya kazi hio tuckilizie trh 29 ambay ni j3 ,, registration unaruhusiw ila tu hio ela yako ujue kama itakua refunded baadae au laNiliongea nao juzi kuhusu allocations wakasema tar 27 lakini hadi leo holaaa ....ivi ambao wamefanya registration wamefanyaje?