Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,252
Habari wakuu,
Kupitia uzi huu tupeane updates kuhusu maombi ya mikopo kupitia HESLB.

Ikiwa unapata utata wowote ule, uweke hapa na wajuzi wa mambo watakuelekeza cha kufanya.

Cha muhimu tuwe na uvumilivu maana tunatofautiana uelewa na mitazamo
Karibuni

=======

HESLB KUANZA KUPOKEA MAOMBI YA MIKOPO MWEZI UJAO

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) inapenda kuwataarifu wananchi kuwa inatarajia kuanza kupokea maombi ya mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2018/2019 kuanzia wiki ya kwanza ya mwezi ujao (Mei, 2018) baada ya kukamilishwa kwa maboresho makubwa ya mfumo wa uombaji kwa njia ya mtandao.

Maboresho ya mfumo wa maombi

Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Bw. Abdul-Razaq Badru amesema katika taarifa yake leo (Jumanne, Aprili 17, 2018) kuwa maombi yote yatapokelewa kwa njia ya mtandao (www.olas.heslb.go.tz) ambao umefanyiwa maboresho na Kituo cha Kompyuta cha Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UCC-UDSM).

Aidha, Bw. Badru amesema dirisha hilo la litafunguliwa sambamba na kutangazwa kwa mwongozo wa kina utakaotoa utaratibu wa kuwasilisha maombi, tarehe ya mwisho ya kuwasilisha maombi, sifa na vigezo vitakavyotumika katika kuchambua na kutoa mikopo kwa mwaka ujao wa masomo unaotarajiwa kuanza mwezi Oktoba, 2018.

“Tunawasihi wale wote wanaotarajia kuomba mkopo wa elimu ya juu kusoma kwa makini mwongozo tutakaoutoa kwa vyombo vya habari na tovuti mwanzoni mwa mwezi Mei, 2018 na kuuzingatia,” amesema Bw. Badru.

Bw. Badru amefafanua kuwa wito wa Bodi ya Mikopo umetolewa kutokana na uzoefu wa miaka iliyopita ambapo waombaji wa mikopo waliwasilisha maombi yao bila kuzingatia mwongozo uliotolewa na kusababisha baadhi ya wanafunzi kukosa mikopo.

“Mwaka jana, kwa mfano, zaidi ya waombaji 10,027 kati ya waombaji zaidi ya 61,000 hawakuambatisha nyaraka muhimu kama vyeti vya kuzaliwa au hata vile vya vifo vilivyothibitishwa na Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) kama tulivyoelekeza,” amesema.

Nyaraka muhimu zinazohitajika

Nyaraka nyingine muhimu ambazo waombaji mikopo wanapaswa kuziandaa ni pamoja na nakala za vyeti vya kitaaluma za kidato cha nne, sita na stashahada ambazo zimethibitishwa na Kamishna wa Viapo yaani Wakili au Hakimu.

Aidha, wanafunzi waombaji wenye ulemavu au wenye wazazi wenye ulemavu wanapaswa kuwa na barua zinazothibitisha ulemavu huo kutoka kwa Mganga Mkuu wa Mkoa, Wilaya au Kituo cha Afya cha Serikali.

Bw. Badru ameongeza kuwa wanafunzi ambao walifadhiliwa katika masomo yao ya Sekondari au Stashahada (Diploma) wawe na barua za uthibitisho wa udhamini huo kutoka katika taasisi zilizogharamia masomo yao.

Maafisa wa HESLB kutoa elimu mikoani

Katika hatua nyingine, Bw. Badru amesema mwaka huu maafisa wa Bodi ya Mikopo watatembelea mikoa mbalimbali ili kukutana na waombaji mikopo kwa lengo la kuwaelimisha waombaji mikopo kuhusu taratibu sahihi za kuwasilisha maombi yao ya mikopo kwa njia ya mtandao. Ratiba na maeneo itakapofanyia mikutano hiyo itatangazwa mwanzoni mwa mwezi Mei, 2018.

HESLB ilianza kazi rasmi mwaka 2005 ili, pamoja na majukumu mengine, kutoa mikopo ya elimu ya juu kwa watanzania wahitaji na wenye sifa na kukusanya mikopo iliyoiva ambayo ilitolewa na Serikali tangu mwaka 1994/1995.

Imetolewa na:

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu

DAR ES SALAAM

Jumanne Aprili 17, 2018

Kwa ufafanuzi: +255 (0) 757 500800

==========

HIGHER EDUCATION STUDENTS’ LOANS BOARD 46
Sam Nujoma Road - Mwenge, P.O.Box 76068, 14113
Dar es Salaam, Tanzania
Tel: (General) +255 22 2772432/2772433;
Fax: +255 22 2700286;
E-mail: info@heslb.go.tz;
Website: www.heslb.go.tz

GUIDELINES AND CRITERIA

FOR ISSUANCE OF STUDENTS’ LOANS AND GRANTS FOR THE 2018/2019 ACADEMIC YEAR 1.0 IMPORTANT INSTRUCTIONS TO ALL LOAN APPLICANTS All loan applicants for Academic Year 2018/2019 are reminded to:

(i) Online loan application window will be open from Thursday, May 10th, 2018 through Sunday, July 15th, 2018;

(ii) Read and follow application procedures stated in these guidelines for Academic Year 2018/2019;

(iii) Ensure that the Form IV Index Number provided when applying for loans matches with the one used in your application for admission;

(iv) Ensure that all documents submitted to support your application have been certified by relevant authorities as specified in the guidelines;

(v) Ensure that all birth/death certificates and other certificates are certified by Registration, Insolvency and Trusteeship Agency (RITA) or the designated officer(s) to ascertain their validity. However, District Social Welfare Officer (DSWO) will have to endorse parent’s death report from village or ward authorities;

(vi) Ensure that details about parents/guardians/guarantors (occupation, employer address, telephone number, postal and physical addresses) are complete and correct. Applicants whose parents are leaders listed in Public Leadership Code of Ethics Act 1995 are ineligible;

(vii) Applicants whose parents/guardians are business owners, senior managers and directors in established business and service sectors recognized by revenue and registration authorities are ineligible;

(viii) Applications must be completed with correct (and accurate) details;

(ix) All applicants are advised to keep a copy of complete package of application form submitted to HESLB for future reference (if required) and

(x) All applicants must strictly observe application deadline.

2.0 OVERVIEW

The Higher Education Students’ Loans Board (HESLB) was established under the Act No. 9 of 2004 and became effective in July 2005. HESLB is mandated to, among others, issue loans and or grants to needy and eligible students. Application window for Academic Year 2018/2019 will be open from May 9, 2018 through July 15, 2018.

3.0 ELIGIBILITY
HESLB Act and regulations provide for General Eligibility and Criteria for applicants seeking loans. NEEDY and ELIGIBLE applicants may apply for loans and/or grants to meet part, or full costs of their education.

3.1 Needy In addition to general eligibility, additional criteria define NEEDY applicant who should not exceed 33 years of age at the time of application, who may:-

(i) Be a poor orphan (who has lost both parents) or partial orphan (who has lost one parent) has to be certified by RITA.

(ii) Have disability that has to be certified by District Medical Officer (DMO), Regional Medical Officer (RMO), or any entity authorized to certify such cases (as may be specified).

(iii) Have parents with disability to be certified by District Medical Officer (DMO), Regional Medical Officer (RMO), or any entity authorized to certify such cases (as may be specified).

(iv) Be from lower income household and/or marginalized community whose secondary or diploma education was sponsored by recognised institutions. Applicants will be required to provide written and authenticated evidence of such sponsorships.

3.2 General Eligibility

Criteria as Pronounced by the Act General Eligibility criteria require an applicant to meet the following conditions: -
(i) Must be a Tanzanian;

(ii) Must have applied for a loan through the Online Loan Application and Management System (OLAMS); (iii) Must have been admitted to an accredited Higher Learning Institution on full time basis except for Students Admitted at the Open University of Tanzania (OUT).

(iv) Must not have funding from other sources.

(v) Must be a continuing student with results/progress reports to show that he/she has passed the examinations necessary to enable him/her to advance to the following year.

(vi) For a student’s loans beneficiary seeking to re-apply for loans after dropping out from one programme/college/university) he/she must repay at least 25% of their previous loans before applying for a new loan. (Note: Payment of 25% of the previously granted loans is not a guarantee for new loans allocation).

3.3 Other Eligibility Criteria

(i) Loans shall be allocated in the order of established Neediness, and programme clustering.

(ii) Except for Continuing Students applying for loans for the first time, all other applicants must have completed their ACSEE or other equivalent qualifications within three (3) years, i.e. from 2016-2018 inclusive.

(iii) With the exception of the additional items in a specific year, amount allocated to a student will be maintained throughout his/her studies.

4.0 PROGRAMME CLUSTERS
After establishing applicant’s neediness, and meeting requirements under sections 3.1 and 3.2 above, the following programme clusters will be used to determine the loans to be issued in priority order subject to availability of funds. 4.1 Cluster I Courses under this cluster include: -

(i) Education and Teaching in Science (Physics, Chemistry, Biology, ICT), Mathematics, Commerce and Accounting

(ii) Health Sciences (Doctor of Medicine, Dental Surgery, Veterinary Medicine, Pharmacy, Nursing, Midwifery, Prosthetics and Orthotics, Physiotherapy, Biotechnology and Laboratory sciences, Radiotherapy Technology);

(iii) Engineering Programmes (Civil, Mechanical, Electrical, Mining, Mineral and Processing, Textile, Chemical and Processing, Agriculture, Food and Processing, Automobile, Industrial, ICT Legal and Industrial Metrology, Maritime Transportation, Marine Technology, Electronics and Telecommunication, ICT and Programming, Information Systems and Network Management, Environmental and Urban Development, and Bio-Processing and Post-Harvest);

(iv) Petroleum Geology, Petroleum Chemistry

(v) Agriculture, Forestry, Animal Sciences and Production Management 4.2 Cluster II Courses under this cluster include:

(i) Basic Science Programmes (BSc General, BSc in/with Applied Zoology, Botanical, Chemistry, Physics, Biology, Microbiology, Molecular Biology and Biotechnology, Fisheries and Aquaculture, Aquatic Environmental Sciences and Conservation, Geology, 4 Mathematics and Statistics, Environmental Sciences, Environmental Health, Wildlife and Conservation) (ii) Land Science Programmes (Architecture, Landscape and Architecture, Interior Design, Building Survey, Building Economics, Urban and Regional Planning, Land Management and Valuation, and Geospatial Technology).

4.3 Cluster III
Courses under this cluster include Business and Management Studies, Social Sciences, Arts, Humanities, Law and Legal Studies, Languages, Literature, Media and Communications Studies. All other courses not listed in either of the clusters, will fall under cluster III.

5.0
LOAN ITEMS, MEANS TESTING AND AMOUNTS TO BE ALLOCATED HESLB may provide loans to cover all or some of the following items;

(i) Meals, Accommodation and Incidentals (MAI) (ii) Tuition Fee (TF)

(iii) Books and Stationery Expenses (BSE)

(iv) Special Faculty Requirements (SFR)

(v) Research Expenses (RE) (vi) Field Practical Training (FPT)

5.1 Means Testing System Means Testing (MT) will be used to determine applicants’ neediness for financial assistance. School Fees paid in CSEE, ACSEE and equivalent qualifications including diplomas is one of the factors considered to establish an individual’s ability to contribute to the costs of higher education. Other factors that are taken into consideration are orphaned, disability, sponsorship and poor family. Therefore, the neediness shall be measured as a difference between total annual costs to pursue individual programme at respective Higher Learning Institutions (HLIs) and established applicant’s past ability to pay for secondary school education or diploma as an indication of the applicants’ ability to contribute to the costs of higher education.

5.2 Distribution of Loanable Items Loans to successful applicants will be allocated starting with Meals, Accommodation and Incidentals (MAI); Tuition Fee (TF) then Books and Stationery Expenses (BSE), followed by Special Faculty Requirements (SFR), Research Expenses (RE) and finally Field Practical Training (FPT) based on the remaining amount from the preceding loan items.

5.3 Approved Tuition Fee Rates Maximum applicable tuition fees for all successful applicants shall be pegged to the equivalent current-approved-highest-tuition-fees payable to Public Higher Learning Institutions. 5.4 Continuing students who are loan beneficiaries

5 .4 All continuing loan beneficiaries shall continue to receive their loans as per their original Means Test Grades upon submission of examination results/progress reports. All continuing loan beneficiaries ARE NOT REQUIRED TO RE-APPLY for the loans.

5.5 Payment Mode: MAI, BSE, FPT and RE items shall be paid directly to students while TF and SFR shall be paid to the respective Higher Learning Institutions (HLIs).

6.0 OTHER CONDITIONS ON ISSUANCE OF LOANS

6.1 Liability of Guarantors, Parents, and Commissioners for Oath Parents/Guarantors are responsible to confirm the correctness (and accuracy) of information submitted in the application forms before signing. The guarantors are expected to ensure that the loans are repaid and must be aware of the borrowers’ whereabouts until the loans are fully repaid. In case of default, guarantors shall be responsible to settle the due /unpaid loan in full.

6.2 Loan Repayment Upon completion or termination of higher education studies, a loan beneficiary shall be required to repay his/her loan through monthly deductions of not less than 15% of salary/income. 6.2.1 Loan Repayment Requirements

6.2.1.1 Value Retention Fee To ensure sustainability of the loan scheme, a Value Retention Fee (VRF) equivalent to 6% per annum from the date of receiving loan items is charged.

6.2.1.2 Loan Administration Fee (LA) All students’ loans shall be subjected to 1% Loan Administration fee payable once

6.2.1.3 Penalty Fee (PF) A beneficiary who fails to repay his/her loan after expiration of grace period of 24 months after graduation, shall be charged a 10% one-timepenalty.

7.0 INTER-UNIVERSITY AND INTERNAL TRANSFERS HESLB shall not raise a duplicate loan payment to such students who voluntarily move to other HLIs. Upon receiving confirmation from relevant authorities, a loan transfer will be effected. No loan transfers will be made 90 days after first admission. All Transfers will not trigger any change on the original loan amounts allocated to individual beneficiaries. List of Candidates admitted to Higher Learning Institutions HESLB will consider loan application from students whose admissions have been approved and submitted by relevant authorities including the Tanzanian Commission for Universities (TCU) and/or respective HLIs as the case may be

8.0 MODE OF APPLICATION

All loan applications will be done through Online Loan Application and Management System (OLAMS). Applicants are REMINDED to use the same Form Four Index Numbers used while applying for admissions. Upon completion of online application process, applicants shall be required to print out the application forms and Loan Agreements, obtain appropriate authentications, sign the forms, attach necessary documents and upload into OLAMS before submitting the same through EMS to: The Executive Director, Higher Education Students’ Loans Board, 46 Sam Nujoma Road - Mwenge, P.O. Box 76068, 14113 Dar es Salaam, TANZANIA. Applicants are REMINDED to keep full set of the applications, attachments submitted, and EMS receipts used for mailing their applications to HESLB for easy tracking when necessary.

9.0 LOAN APPLICATION FEES

Applicants must pay a non-refundable, one-off application fee of TZS 30,000.00 through NMB Bank and CRDB Bank. For details visit: https:/olas.heslb.go.tz

9.1 Application Deadline

The Loan Application window for 2018/2019 opens on May 9, 2018 through July 15, 2018 Publication of Successful Applicants A list of successful loan applicants with their corresponding allocations shall be published on the website: www.heslb.go.tz

10.0 APPEALS AGAINST AWARDED LOAN AMOUNTS

Applicants who are not satisfied with the allocations may appeal by completing the relevant Online Appeal Forms. Details to be provided later.

11.0 INQUIRIES AND COMPLAINTS
Applicants or loan beneficiaries with inquiries or complaints will have to follow procedures displayed in the loan application window.

12.0 POSTGRADUATE STUDENTS

Eligible students for loans for the 2018/2019 academic year, admitted to pursue Postgraduate Degree Programmes must fulfil the General Eligibility Criteria set in 3.2 above.

12.1 Postgraduate students (Academic Staff) In addition to the General Eligibility Criteria, applicants must fulfil eligibility criteria specific to the Postgraduate applicants’ category which are: 7
(i) They must hold a first Degree or an Advanced Diploma, with a minimum of Upper Second Class (for applicants pursuing Masters Degrees) or Master’s Degree with minimum of Upper Second Class (for applicants pursuing PhD degrees);

(ii) They must be academic members of staff, admitted to pursue postgraduate studies on fulltime basis, at an accredited Higher Education Institution in Tanzania;

(iii) They must have been officially nominated by the employer, and obtained endorsement by the Vice Chancellors/Principal/Provosts/ of the respective institution;

(iv) They must have started to repay their previous loans at least for an unbroken period of twelve months, or a lump sum of the same instalments if he/she was previously a Students’ Loans’ Board’s beneficiary;

(v) The employer must have signed the Financing Agreement between the Higher Education Students’ Loans Board and the Higher Education Institution. 12.2 Postgraduate students admitted at the Nelson Mandela African Institute of Science and Technology (NM-AIST) To strengthen national capacity in research, ICT and innovation, HESLB issues loans to students admitted to pursue Masters and PhD in Science related programmes courses at the Nelson Mandela African Institute of Science and Technology (NM-AIST). Eligible students for loans for 2018/2019 academic year, must fulfil General Eligibility Criteria set in 3.2 above. In addition to the General Eligibility Criteria set in 3.2 above, applicants must fulfil eligibility specific to the postgraduate applicants in the NM-AIST category: -

(i) Must have been admitted at the Nelson Mandela African Institute of Science and Technology (NM-AIST) to pursue master’s or PhD programme in one of the under listed priority sectors: Life Sciences, Mathematical & Computer Science Engineering, Information and Communication Science Engineering. Materials, Energy, Water and Environmental Sciences.

(ii) Must have been employees in Public Institutions and worked for a minimum of two (2) years;

(iii) Must be guaranteed by their employers with respect to repayment of the loans; (iv) Must have started to repay their previous loans at least for an unbroken period of twelve months, or a lump sum of twelve instalments, if they were previously Higher Education Students’ Loans Board’s beneficiaries.;

(v) Repayment for NM-AIST postgraduate students’ loans shall start immediately upon completion of the first year of study by monthly instalments deducted by employers from beneficiary’s salary and remitted to the Board.

8 12.3 Postgraduate students admitted at Law School of Tanzania (LASC

12.3 Postgraduate students admitted at Law School of Tanzania (LASCOT)

Students Law School students who are eligible for loans in the 2018/2019 academic year must meet the following conditions: Must fulfil the General Eligibility Criteria set in Section 3.2 above. In addition to the General Eligibility Criteria set in Section 3.2 above, applicants must fulfil eligibility criteria specific to the Postgraduate applicants at Law School of Tanzania (LASCOT) which are: -

(i) Must have graduated (with LLB Degree) not more than three years back (i.e. from 2015 to 2017);

(ii) Loans will be issued ONLY to the NEEDY Applicants based on Means Test Results;

(iii) In case the applicant is a previous loan beneficiary whose loan has matured, he/she must have paid all due instalments. Subject to availability of funds, Loans for Law School students may be issued to cover either partially or fully the following items:

(i) Books and Stationery expenses;

(ii) Tuition Fees 12.4 Diplomas in Priority Programmes Separate Guidelines and criteria for Issuance of loans to eligible applicants to pursue Diploma and non-degree studies under selected programmes (to be confirmed) will be issued later.

12.5 Applicable rates for Postgraduate Students

12.5.1Meals, Accommodation and Incidentals (MAI) The Board may provide loans for Meals and Accommodation at the rate of TZS 10,000/= per day while on campus for theoretical instructions or in field for data collection.

12.5.2
Books and Stationery Expenses (BSE)
A maximum of Tzs 500,000/= per annum for Books and Stationery may be granted to eligible students pursuing Masters and PhD. A maximum of Tzs 200,000/= per annum for Books may be granted to Postgraduate students admitted at Law School of Tanzania.

12.5.3
Tuition Fee (TF) 9 HESLB
may provide tuition fee loans at 100% rate based on the rates charged by the respective Higher Learning Institution, with the exception of the Law School of Tanzania (LASCOT).

12.5.4
Research Expenses (RE)
HESLB may provide loans at 100% rate for Research expenses in all fields, based on the rates applicable at HEI as may be endorsed from time to time. Applicable rates include a maximum of Tzs 2,000,000/= per annum for Master Degree programme and a maximum of Tzs 5,000,000/= per annum for a PhD Degree programme.

PART B: ISSUANCE OF GRANTS 13.0 GRANTS:

13.1 Grants Items Subject to availability of funds Grants may be issued to cover in full the following items:
(i) Tuition Fees (TU)
(ii) Books and Stationery Expenses (BSE)
(iii) Special Faculty Requirement Expenses (SFR)
(iv) Field Practical Training expenses (FPT) (
v) Research Expenses (RE)

13.2 Eligibility Criteria Grants shall be governed by the following Specific Eligibility Criteria:

13.2.1Must be a direct entrant admitted to fully accredited HLls in Tanzania and who is confirmed to be disabled and supported by a certificate of disability from the District Medical Officer (DMO), Regional Medical Officer (RMO) or any entity authorized to certify such cases;

13.2.2Must fill the grant application form and submit the same through the Academic office of the respective institution;

13.2.3Continuing students Grants Beneficiary shall continue to benefit if he/she has passed the examinations necessary to enable him/her to proceed to the next year or stage of study. (No grant will be given to students who transfer to another HLI or repeat examinations).

Eligible students for Grants for 2018/2019 academic year, admitted to pursue Undergraduate Degree Programmes must fulfil the General Eligibility Criteria set in 3.2 above.

Additional guidelines and processes for grants application will be released in due course. Applications to be endorsed by HLIs where eligible beneficiaries will be admitt
 
Attachments

  • HESLB CRITERIA FOR LOAN.pdf
    306.1 KB · Views: 374
Yaan form six hawajaanza hata mtihan afuu bod wanaachia maombi ya mikopo...... Mbona hawana mawasiliano na baraza la mitihani... Jkt pia duuu... Nikikumbuka..... Bod ya mikopo n pasua kichwa
 
SIYO LAZIMA WA SUBIRI FORMSIX WA MWAKA HUU. Kuna wa mwaka jana wengi tu wamekosa mkopo hivyo na wao wataomba mapema
 
Maombi ya mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya juu yamefunguliwa rasmi May 10, 2018 hadi July 15, 2018. Karibu tushiriki kujuzana mambo muhimu katika mchakato huu.
====

Dar es Salaam. Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imeongeza idadi ya wanafunzi watakaonufaika na mikopo hiyo kutoka 33, 000 hadi 40,000 kwa mwaka wa masomo 2018/19.

Akizungumza leo, Mei 10, na wanahabari, Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB Abdurazaq Badru amesema kwa mwaka wa kwanza wanafunzi 40,000 watapata mikopo ikiwa ni ongezeko la wanafunzi 7,000 ikilinganishwa na 33,000 waliopata mwaka jana.

“Kwa mwaka huu jumla ya Sh 437 bilioni zimetengwa kwa ajili ya mikopo hiyo,” amesema

Kadhalika Badru, amesema Bodi hiyo imefungua dirisha la kupokea maombi ya mikopo , zoezi ambalo litafanyika miezi miwili kuanzia leo.

Amesema mwaka huu kipaumbele kitawekwa kwenye kozi ambazo zina uhaba wa wataalam pamoja na zile zenye mchango katika viwanda.

"Katika kuhakikisha dhamira ya serikali ya kuwa Tanzania ya viwanda inatimia, tutaweka kipaumbele kwenye kozi ambazo zitazalisha wataalam,” amesema.

Badru amesema mwaka huu pia bodi imeongeza wigo wa kutoa mikopo kwa wanafunzi wa stashahada.

Amesema hapo awali ngazi ya stashahada walikuwa wanapewa mikopo wale wa kozi za ualimu pekee ila sasa maeneo yenye uhitaji wa wataalam nayo yatapewa fursa hiyo.
 
Attachments

  • download-1.pdf
    264 KB · Views: 462
Hakuna ubaya kujaribu lakini kama kozi yako iko huko fungu la tatu basi ujue kupata ni majaliwa na hasa kama umesoma kuleeeee
 
HIGHER EDUCATION STUDENTS’ LOANS BOARD 46
Sam Nujoma Road - Mwenge, P.O.Box 76068, 14113
Dar es Salaam, Tanzania
Tel: (General) +255 22 2772432/2772433;
Fax: +255 22 2700286;
E-mail: info@heslb.go.tz;
Website: www.heslb.go.tz

GUIDELINES AND CRITERIA

FOR ISSUANCE OF STUDENTS’ LOANS AND GRANTS FOR THE 2018/2019 ACADEMIC YEAR 1.0 IMPORTANT INSTRUCTIONS TO ALL LOAN APPLICANTS All loan applicants for Academic Year 2018/2019 are reminded to:
(i) Online loan application window will be open from Thursday, May 10th, 2018 through Sunday, July 15th, 2018;

(ii) Read and follow application procedures stated in these guidelines for Academic Year 2018/2019;

(iii) Ensure that the Form IV Index Number provided when applying for loans matches with the one used in your application for admission;

(iv) Ensure that all documents submitted to support your application have been certified by relevant authorities as specified in the guidelines;

(v) Ensure that all birth/death certificates and other certificates are certified by Registration, Insolvency and Trusteeship Agency (RITA) or the designated officer(s) to ascertain their validity. However, District Social Welfare Officer (DSWO) will have to endorse parent’s death report from village or ward authorities;

(vi) Ensure that details about parents/guardians/guarantors (occupation, employer address, telephone number, postal and physical addresses) are complete and correct. Applicants whose parents are leaders listed in Public Leadership Code of Ethics Act 1995 are ineligible;

(vii) Applicants whose parents/guardians are business owners, senior managers and directors in established business and service sectors recognized by revenue and registration authorities are ineligible;

(viii) Applications must be completed with correct (and accurate) details;

(ix) All applicants are advised to keep a copy of complete package of application form submitted to HESLB for future reference (if required) and

(x) All applicants must strictly observe application deadline.

2.0 OVERVIEW

The Higher Education Students’ Loans Board (HESLB) was established under the Act No. 9 of 2004 and became effective in July 2005. HESLB is mandated to, among others, issue loans and or grants to needy and eligible students. Application window for Academic Year 2018/2019 will be open from May 9, 2018 through July 15, 2018.

3.0 ELIGIBILITY
HESLB Act and regulations provide for General Eligibility and Criteria for applicants seeking loans. NEEDY and ELIGIBLE applicants may apply for loans and/or grants to meet part, or full costs of their education.

3.1 Needy In addition to general eligibility, additional criteria define NEEDY applicant who should not exceed 33 years of age at the time of application, who may:-

(i) Be a poor orphan (who has lost both parents) or partial orphan (who has lost one parent) has to be certified by RITA.

(ii) Have disability that has to be certified by District Medical Officer (DMO), Regional Medical Officer (RMO), or any entity authorized to certify such cases (as may be specified).

(iii) Have parents with disability to be certified by District Medical Officer (DMO), Regional Medical Officer (RMO), or any entity authorized to certify such cases (as may be specified).

(iv) Be from lower income household and/or marginalized community whose secondary or diploma education was sponsored by recognised institutions. Applicants will be required to provide written and authenticated evidence of such sponsorships.

3.2 General Eligibility

Criteria as Pronounced by the Act General Eligibility criteria require an applicant to meet the following conditions: -
(i) Must be a Tanzanian;

(ii) Must have applied for a loan through the Online Loan Application and Management System (OLAMS); (iii) Must have been admitted to an accredited Higher Learning Institution on full time basis except for Students Admitted at the Open University of Tanzania (OUT).

(iv) Must not have funding from other sources.

(v) Must be a continuing student with results/progress reports to show that he/she has passed the examinations necessary to enable him/her to advance to the following year.

(vi) For a student’s loans beneficiary seeking to re-apply for loans after dropping out from one programme/college/university) he/she must repay at least 25% of their previous loans before applying for a new loan. (Note: Payment of 25% of the previously granted loans is not a guarantee for new loans allocation).

3.3 Other Eligibility Criteria

(i) Loans shall be allocated in the order of established Neediness, and programme clustering.

(ii) Except for Continuing Students applying for loans for the first time, all other applicants must have completed their ACSEE or other equivalent qualifications within three (3) years, i.e. from 2016-2018 inclusive.

(iii) With the exception of the additional items in a specific year, amount allocated to a student will be maintained throughout his/her studies.

4.0 PROGRAMME CLUSTERS
After establishing applicant’s neediness, and meeting requirements under sections 3.1 and 3.2 above, the following programme clusters will be used to determine the loans to be issued in priority order subject to availability of funds. 4.1 Cluster I Courses under this cluster include: -

(i) Education and Teaching in Science (Physics, Chemistry, Biology, ICT), Mathematics, Commerce and Accounting

(ii) Health Sciences (Doctor of Medicine, Dental Surgery, Veterinary Medicine, Pharmacy, Nursing, Midwifery, Prosthetics and Orthotics, Physiotherapy, Biotechnology and Laboratory sciences, Radiotherapy Technology);

(iii) Engineering Programmes (Civil, Mechanical, Electrical, Mining, Mineral and Processing, Textile, Chemical and Processing, Agriculture, Food and Processing, Automobile, Industrial, ICT Legal and Industrial Metrology, Maritime Transportation, Marine Technology, Electronics and Telecommunication, ICT and Programming, Information Systems and Network Management, Environmental and Urban Development, and Bio-Processing and Post-Harvest);

(iv) Petroleum Geology, Petroleum Chemistry

(v) Agriculture, Forestry, Animal Sciences and Production Management 4.2 Cluster II Courses under this cluster include:

(i) Basic Science Programmes (BSc General, BSc in/with Applied Zoology, Botanical, Chemistry, Physics, Biology, Microbiology, Molecular Biology and Biotechnology, Fisheries and Aquaculture, Aquatic Environmental Sciences and Conservation, Geology, 4 Mathematics and Statistics, Environmental Sciences, Environmental Health, Wildlife and Conservation) (ii) Land Science Programmes (Architecture, Landscape and Architecture, Interior Design, Building Survey, Building Economics, Urban and Regional Planning, Land Management and Valuation, and Geospatial Technology).

4.3 Cluster III
Courses under this cluster include Business and Management Studies, Social Sciences, Arts, Humanities, Law and Legal Studies, Languages, Literature, Media and Communications Studies. All other courses not listed in either of the clusters, will fall under cluster III.

5.0
LOAN ITEMS, MEANS TESTING AND AMOUNTS TO BE ALLOCATED HESLB may provide loans to cover all or some of the following items;

(i) Meals, Accommodation and Incidentals (MAI) (ii) Tuition Fee (TF)

(iii) Books and Stationery Expenses (BSE)

(iv) Special Faculty Requirements (SFR)

(v) Research Expenses (RE) (vi) Field Practical Training (FPT)

5.1 Means Testing System Means Testing (MT) will be used to determine applicants’ neediness for financial assistance. School Fees paid in CSEE, ACSEE and equivalent qualifications including diplomas is one of the factors considered to establish an individual’s ability to contribute to the costs of higher education. Other factors that are taken into consideration are orphaned, disability, sponsorship and poor family. Therefore, the neediness shall be measured as a difference between total annual costs to pursue individual programme at respective Higher Learning Institutions (HLIs) and established applicant’s past ability to pay for secondary school education or diploma as an indication of the applicants’ ability to contribute to the costs of higher education.

5.2 Distribution of Loanable Items Loans to successful applicants will be allocated starting with Meals, Accommodation and Incidentals (MAI); Tuition Fee (TF) then Books and Stationery Expenses (BSE), followed by Special Faculty Requirements (SFR), Research Expenses (RE) and finally Field Practical Training (FPT) based on the remaining amount from the preceding loan items.

5.3 Approved Tuition Fee Rates Maximum applicable tuition fees for all successful applicants shall be pegged to the equivalent current-approved-highest-tuition-fees payable to Public Higher Learning Institutions. 5.4 Continuing students who are loan beneficiaries

5 .4 All continuing loan beneficiaries shall continue to receive their loans as per their original Means Test Grades upon submission of examination results/progress reports. All continuing loan beneficiaries ARE NOT REQUIRED TO RE-APPLY for the loans.

5.5 Payment Mode: MAI, BSE, FPT and RE items shall be paid directly to students while TF and SFR shall be paid to the respective Higher Learning Institutions (HLIs).

6.0 OTHER CONDITIONS ON ISSUANCE OF LOANS

6.1 Liability of Guarantors, Parents, and Commissioners for Oath Parents/Guarantors are responsible to confirm the correctness (and accuracy) of information submitted in the application forms before signing. The guarantors are expected to ensure that the loans are repaid and must be aware of the borrowers’ whereabouts until the loans are fully repaid. In case of default, guarantors shall be responsible to settle the due /unpaid loan in full.

6.2 Loan Repayment Upon completion or termination of higher education studies, a loan beneficiary shall be required to repay his/her loan through monthly deductions of not less than 15% of salary/income. 6.2.1 Loan Repayment Requirements

6.2.1.1 Value Retention Fee To ensure sustainability of the loan scheme, a Value Retention Fee (VRF) equivalent to 6% per annum from the date of receiving loan items is charged.

6.2.1.2 Loan Administration Fee (LA) All students’ loans shall be subjected to 1% Loan Administration fee payable once

6.2.1.3 Penalty Fee (PF) A beneficiary who fails to repay his/her loan after expiration of grace period of 24 months after graduation, shall be charged a 10% one-timepenalty.

7.0 INTER-UNIVERSITY AND INTERNAL TRANSFERS HESLB shall not raise a duplicate loan payment to such students who voluntarily move to other HLIs. Upon receiving confirmation from relevant authorities, a loan transfer will be effected. No loan transfers will be made 90 days after first admission. All Transfers will not trigger any change on the original loan amounts allocated to individual beneficiaries. List of Candidates admitted to Higher Learning Institutions HESLB will consider loan application from students whose admissions have been approved and submitted by relevant authorities including the Tanzanian Commission for Universities (TCU) and/or respective HLIs as the case may be

8.0 MODE OF APPLICATION

All loan applications will be done through Online Loan Application and Management System (OLAMS). Applicants are REMINDED to use the same Form Four Index Numbers used while applying for admissions. Upon completion of online application process, applicants shall be required to print out the application forms and Loan Agreements, obtain appropriate authentications, sign the forms, attach necessary documents and upload into OLAMS before submitting the same through EMS to: The Executive Director, Higher Education Students’ Loans Board, 46 Sam Nujoma Road - Mwenge, P.O. Box 76068, 14113 Dar es Salaam, TANZANIA. Applicants are REMINDED to keep full set of the applications, attachments submitted, and EMS receipts used for mailing their applications to HESLB for easy tracking when necessary.

9.0 LOAN APPLICATION FEES

Applicants must pay a non-refundable, one-off application fee of TZS 30,000.00 through NMB Bank and CRDB Bank. For details visit: https:/olas.heslb.go.tz

9.1 Application Deadline

The Loan Application window for 2018/2019 opens on May 9, 2018 through July 15, 2018 Publication of Successful Applicants A list of successful loan applicants with their corresponding allocations shall be published on the website: www.heslb.go.tz

10.0 APPEALS AGAINST AWARDED LOAN AMOUNTS

Applicants who are not satisfied with the allocations may appeal by completing the relevant Online Appeal Forms. Details to be provided later.

11.0 INQUIRIES AND COMPLAINTS
Applicants or loan beneficiaries with inquiries or complaints will have to follow procedures displayed in the loan application window.

12.0 POSTGRADUATE STUDENTS

Eligible students for loans for the 2018/2019 academic year, admitted to pursue Postgraduate Degree Programmes must fulfil the General Eligibility Criteria set in 3.2 above.

12.1 Postgraduate students (Academic Staff) In addition to the General Eligibility Criteria, applicants must fulfil eligibility criteria specific to the Postgraduate applicants’ category which are: 7
(i) They must hold a first Degree or an Advanced Diploma, with a minimum of Upper Second Class (for applicants pursuing Masters Degrees) or Master’s Degree with minimum of Upper Second Class (for applicants pursuing PhD degrees);

(ii) They must be academic members of staff, admitted to pursue postgraduate studies on fulltime basis, at an accredited Higher Education Institution in Tanzania;

(iii) They must have been officially nominated by the employer, and obtained endorsement by the Vice Chancellors/Principal/Provosts/ of the respective institution;

(iv) They must have started to repay their previous loans at least for an unbroken period of twelve months, or a lump sum of the same instalments if he/she was previously a Students’ Loans’ Board’s beneficiary;

(v) The employer must have signed the Financing Agreement between the Higher Education Students’ Loans Board and the Higher Education Institution. 12.2 Postgraduate students admitted at the Nelson Mandela African Institute of Science and Technology (NM-AIST) To strengthen national capacity in research, ICT and innovation, HESLB issues loans to students admitted to pursue Masters and PhD in Science related programmes courses at the Nelson Mandela African Institute of Science and Technology (NM-AIST). Eligible students for loans for 2018/2019 academic year, must fulfil General Eligibility Criteria set in 3.2 above. In addition to the General Eligibility Criteria set in 3.2 above, applicants must fulfil eligibility specific to the postgraduate applicants in the NM-AIST category: -

(i) Must have been admitted at the Nelson Mandela African Institute of Science and Technology (NM-AIST) to pursue master’s or PhD programme in one of the under listed priority sectors:  Life Sciences,  Mathematical & Computer Science Engineering,  Information and Communication Science Engineering.  Materials, Energy, Water and Environmental Sciences.

(ii) Must have been employees in Public Institutions and worked for a minimum of two (2) years;

(iii) Must be guaranteed by their employers with respect to repayment of the loans; (iv) Must have started to repay their previous loans at least for an unbroken period of twelve months, or a lump sum of twelve instalments, if they were previously Higher Education Students’ Loans Board’s beneficiaries.;

(v) Repayment for NM-AIST postgraduate students’ loans shall start immediately upon completion of the first year of study by monthly instalments deducted by employers from beneficiary’s salary and remitted to the Board.

8 12.3 Postgraduate students admitted at Law School of Tanzania (LASC

12.3 Postgraduate students admitted at Law School of Tanzania (LASCOT)

Students Law School students who are eligible for loans in the 2018/2019 academic year must meet the following conditions: Must fulfil the General Eligibility Criteria set in Section 3.2 above. In addition to the General Eligibility Criteria set in Section 3.2 above, applicants must fulfil eligibility criteria specific to the Postgraduate applicants at Law School of Tanzania (LASCOT) which are: -
(i) Must have graduated (with LLB Degree) not more than three years back (i.e. from 2015 to 2017);

(ii) Loans will be issued ONLY to the NEEDY Applicants based on Means Test Results;

(iii) In case the applicant is a previous loan beneficiary whose loan has matured, he/she must have paid all due instalments. Subject to availability of funds, Loans for Law School students may be issued to cover either partially or fully the following items:

(i) Books and Stationery expenses;

(ii) Tuition Fees 12.4 Diplomas in Priority Programmes Separate Guidelines and criteria for Issuance of loans to eligible applicants to pursue Diploma and non-degree studies under selected programmes (to be confirmed) will be issued later.

12.5 Applicable rates for Postgraduate Students

12.5.1Meals, Accommodation and Incidentals (MAI) The Board may provide loans for Meals and Accommodation at the rate of TZS 10,000/= per day while on campus for theoretical instructions or in field for data collection.

12.5.2
Books and Stationery Expenses (BSE)
A maximum of Tzs 500,000/= per annum for Books and Stationery may be granted to eligible students pursuing Masters and PhD. A maximum of Tzs 200,000/= per annum for Books may be granted to Postgraduate students admitted at Law School of Tanzania.

12.5.3
Tuition Fee (TF) 9 HESLB
may provide tuition fee loans at 100% rate based on the rates charged by the respective Higher Learning Institution, with the exception of the Law School of Tanzania (LASCOT).

12.5.4
Research Expenses (RE)
HESLB may provide loans at 100% rate for Research expenses in all fields, based on the rates applicable at HEI as may be endorsed from time to time. Applicable rates include a maximum of Tzs 2,000,000/= per annum for Master Degree programme and a maximum of Tzs 5,000,000/= per annum for a PhD Degree programme.

PART B: ISSUANCE OF GRANTS 13.0 GRANTS:

13.1 Grants Items Subject to availability of funds Grants may be issued to cover in full the following items:
(i) Tuition Fees (TU)
(ii) Books and Stationery Expenses (BSE)
(iii) Special Faculty Requirement Expenses (SFR)
(iv) Field Practical Training expenses (FPT) (
v) Research Expenses (RE)

13.2 Eligibility Criteria Grants shall be governed by the following Specific Eligibility Criteria:

13.2.1Must be a direct entrant admitted to fully accredited HLls in Tanzania and who is confirmed to be disabled and supported by a certificate of disability from the District Medical Officer (DMO), Regional Medical Officer (RMO) or any entity authorized to certify such cases;

13.2.2Must fill the grant application form and submit the same through the Academic office of the respective institution;
13.2.3Continuing students Grants Beneficiary shall continue to benefit if he/she has passed the examinations necessary to enable him/her to proceed to the next year or stage of study. (No grant will be given to students who transfer to another HLI or repeat examinations).

Eligible students for Grants for 2018/2019 academic year, admitted to pursue Undergraduate Degree Programmes must fulfil the General Eligibility Criteria set in 3.2 above.

Additional guidelines and processes for grants application will be released in due course. Applications to be endorsed by HLIs where eligible beneficiaries will be admitt

Hakuna ubaya kujaribu lakini kama kozi yako iko huko fungu la tatu basi ujue kupata ni majaliwa na hasa kama umesoma kuleeeee
ok.
naulizia jinsi ya kulipa iyo 25% kama ulikuwa mnufaika ila ukahairisha masomo
 
unalipia 25%den utaapply upya mkopo na baada ya kulipia kuna barua utapewa utaambatanisha kwenye fomu yako wakat wa kutuma...ila kwenye kuja kupata n kumuomba Mungu maana lolote laweza kutokea....
 
ok.
naulizia jinsi ya kulipa iyo 25% kama ulikuwa mnufaika ila ukahairisha masomo
Itabidi uwasiliane nao ikibidi uende kama uko karibu ili mhakiki kiasi ulichopewa. Baada ya hapo ni wewe kulipa hiyo 25% kwa njia utakayoelekezwa na upate risiti. Then unaweza kuomba tena.
 
Jamani na Mimi naomba kufahamishwa, je, alie maliza chuo na ni mnufaika wa mkopo, anaweza pewa mkopo kwa kulipia 25% ( Vigezo)
 
Back
Top Bottom