Special Thread: Kwa waombaji wote wa mikopo kupitia HESLB 2018/2019

mkuu udhibitisho wa vyeti kwa wakili ni baada ya kuprint form ndo napeleka kwa wakili?
Ndiyo ukishaprint unapeleka kwa wakili au hakimu kwani pamoja na kuthibitisha vyeti vyako vya taaluma, kitambulisho cha mdhamini(mzazi au mlezi) pia kwenye fomu kuna sehemu anasaini.
 
huyu mdau mjibuni basi swali lake muhimu sana
Si ameshapata majibu kwani swali hilo ni la June 8 baada ya hapo JF ilifungwa. Ila baada kulipa sh. 3000 NMB au CRDB kwa a/c uliopewa na RITA pamoja na control number ulopewa,utatumiwa namba ya risiti ya malipo kwa Sms kwenye namba yako utakayotoa Hapo Benki au wakala WA Benki.Cheti cha kuzaliwa na payment slip ya Benki unaiscan na kuweka kama file moja ya PDF ndio unaupload kwenye Uhakiki portal ya RITA na kutuma.
 
yaani hawa rita mbona mbona matangazo yao mawili yanapishana juu ya ulipaji wa hiyo 3000
 
Si ameshapata majibu kwani swali hilo ni la June 8 baada ya hapo JF ilifungwa. Ila baada kulipa sh. 3000 NMB au CRDB kwa a/c uliopewa na RITA pamoja na control number ulopewa,utatumiwa namba ya risiti ya malipo kwa Sms kwenye namba yako utakayotoa Hapo Benki au wakala WA Benki.Cheti cha kuzaliwa na payment slip ya Benki unaiscan na kuweka kama file moja ya PDF ndio unaupload kwenye Uhakiki portal ya RITA na kutuma.
hujaelewa alichojibu yy na ndicho ambacho hata mm nataka nijue ni kwamba Rita wamerejesha majibu ya uhakiki wakiwa wameambatanisha cheti cha kuzaliwa na risiti je,unapoaplly mkopo sehemu ya kuweka cheti cha kuzaliwa unaumganisha hivyo hivyo cheti cha kuzaliwa na risiti kwa wakati mmoja??? alikua hajajibiwa swali lake before na mi pia kuna mtu kantuma nimuulizie hivyo nahitaji majibu sorry lakini
 
Nadhani yeye alichouliza ni kutuma RITA, lakini kama umerejeshwea majibu toka RITA na kwa kuwa itakuwa mtandaoni utaprint hiyo cheti iliyothibishwa na risiti yake,utaunganisha na Fomu yako ya Heslb ikiwa na nakala vyeti vyako vya taaluma na kitambulisho cha mdhamini vilivyothibitishwa na wakili, hakimu au mwasheria anayetambulika na kutuma kwa ems posta kwa anwani uliopewa ya Heslb.
 
wakuu kuna haja ya kuthibitisha TENA cheti cha kuzaliwa kwa mwanasheria?
 
Mgeujua huu mzimu msinge jaribu kuomba huu mkopo, utaulipa robo tatu ya maisha yako ya kazi utapo ajiliwa na malipo yako ni asilimia 10000 yakile ulikopa mwanzoni!!!

Maaana kuna watu salary slip zilionyesha umeisha, ghafla tukaona unaaza tena,

Kuwauliza maafisa wa loan bord izo caluculation walitupa utakaa ujute milele,!!!

Kwa ufupi kama mnauwezo nyumbani mjinyime tu ujisomeshe!!!
 
Kama huna uwezo wa kujisomesha?
 
Yani kila siku afadhali ya jana, nchi utazani inaongozwa na mganga wa kienyeji maana kila kukicha masharti yanakuwa magumu
Mkuu hapo umenena hatari nyengine hpo huku chini kwetu wanaosoma sayansi mwaka huu lazima uwe na division two ya point 20 kama una 21 hata kama umefaulu sana sayansi ila art patakuhusu , se....kali hii haijamwacha MTU salama yani tuna pata tabu sana
 
Naomba kuuliza diploma Wa 2018 wata aply vipi wakati mwisho ni tar 15... Wakati hapo wengine bado wanapiga pepa
 
Kwani wa diploma wanapewa mkopo?
Kwa tangazo la HESLB wamesitisha utoaji mkopo kwa wanaochukua Diploma(stashahada).
 
Back
Top Bottom